Recent content by ICUB4

  1. I

    Polisi waliouawa Karagwe; ukweli huu hapa... Wananchi wataka TBC iseme ukweli!

    jamani kwani polisi wanashuka toka mbinguni? Ni wanadamu wa kawaida kabisa wana shida na raha,wana chungu na tamu..so hata kuiba kwao ni kawaida tu,sasa vyombo vya habari kuwalinda manake nini..nakubaliana na mwana jf aliesema mfumo ndio unaoongoza nchi...kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
  2. I

    Bima ya afya Moshi kama kibati.....

    Mbona hii ishu imekaa kimajungumajungu hivi, kama kweli unataka kufahamisha umma si ungefunguka full details,sasa sisi tuna muda wa kuanza kuuliza nani katoka Arusha hapa au alimwekea sumu bosi wake...!
  3. I

    we ndo umeanzisha lakini...

    Siku moja jamaa alikuwa katika matembezi ya jioni akiwa na mke wake; katika tembeatembea yao wakapita sehemu yenye jengo jipya la hotel, yule jamaa akamwambia mkewe vyumba vya hotel hii vidogo...mkewe akaongeza...hata vitanda vyake si vizuri vina kelele sana...mume akaja juu 'we umejuaje vitanda...
  4. I

    Aibu kubwa

    hivi huo umri huwa unaonekana kwa wanaume kwa vibibi tu...mbona visichana na vibabu hamjengi hoja?
  5. I

    Sex Positions za Kutafuta Mtoto

    mmh..hebu mpe mke wako anachotaka,ukiendelea kuwa mbishi utasaidiwa afu utapongezwa 'hata kubinjua kumbe kuzuri' kumbe mimba ya mwingine...usiku mwema..kambinjue tena
  6. I

    Please Kwa Wanaume tu: Ingekuwa Ndiye Wewe Inakutokea, Ungejitetea Vipi kwa Mkeo?

    kama angemaind sana ningemuuliza kama alternative ya pili ya kutafuta tuition kutoka kwa machangu ni nzuri zaidi ya hizo cd ambazo hazina madhara zaidi ya kuongeza ujuzi unaompagawishaga kitandani!
  7. I

    Kuandika list ya majina ya wanawake uliowahi kuwa na uhusiano nao wa kimapenzi

    labda yupo katika research ku'determine strength yake vs number of user...!
  8. I

    Katoto kadogo kalikuwa kananiita Anko alafu nirekebishe, hapana

    wewe je uliechangia ni nani? Wala usingeisoma au kuchangia sasa...
  9. I

    Nani yupo sahihi?

    kati ya anayesema 'nyimbo' yangu nzuri na ' wimbo' wangu mzuri nani yuko sahihi na kwa nini?
  10. I

    Hembu ya Fast Jet

    kiagata hiyo ni mada nyingine kabisa, kiongelewacho ni msamiati uliotumika..ishu ya faida au hasara alieanzisha mada wala hana mpango nayo..nenda kwenye uchumi post hiyo kitu utachangiwa mawazo
  11. I

    TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    kwani chief umelazimishwa kusoma,mbona una kiherehere..usijifanye moderator wa post za watu! Unalaumu ishu ya kulalamika wakati we mwenyewe katika post yako unalalamika.
Back
Top Bottom