Recent content by ICHANA

  1. ICHANA

    Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

    Jaman dada joy Umesahau mara hii.... Kumbukumbu zimeenda wapi??? tafakar Pls Mwaka Jana wapi ulikuwa unajiita joy plus kumpenda mume WA mtu kumbe wote uongo wewe ni dume
  2. ICHANA

    Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

    Aisee ukamla valle???????? Kumbe Ameolewa na ana watoto watatu na mmoja kambambika mumewe koh koh koh kwa huu Ubuyu ni wa international
  3. ICHANA

    Dada yangu mzuri ila jeuri, ana uwezo, umri umeenda nataka nimuunganishie mwanaume wa kumdhibiti

    Ha ha ha ha uuuupsi mara pwaaaaa Chizi Maarifa Hujambo za masiku Ivi Unakumbuka ile story yako ya kumtaka mune wa mtu. ulifanikiwa Shogaa angu cos Ulisema kwa vyovyote lazima umpate.
  4. ICHANA

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    God have a mercy on us. Aisee hta Kama tindu kisu ni mbaya huwez kumuombea mabaya. tuweke siasa pembeni yeye Binadamu kaa sis Sijui Unapata dhawabu gani kwa kumuombea mabaya???huwez kuwa yeye Na huwez chukua cheo chake.. Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuhukumu. Get well soon Tindu lisu...
  5. ICHANA

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Movie hii muda si mrefu utasikia ......TO BE CONTINUEDIIIIIIIIIIIII...... tunaenda kaa bendera fuata upepo matokeo ya form four kimyaaa njaa kimyaaa sasa madawa tuuuuu ..... MUNGU TUSAIDIE SIJUI HAWA WATU WANATUIBIA NN AU KIPI KINAENDELEA NDO WAKATUDANGANYA NA MADAWA YA KULEVYA
  6. ICHANA

    Biblia inasemaje kuhusu michepuko?

    Kubwa la maadui jeshi la mtu mmoja nimependa saut yako ukianzisha online church ntakuwa member Wako mzuriii
  7. ICHANA

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    C Google uangalie 10 Most billionaire kwa afrika na 10 most billionaire kwa dunia nzimaa mwishowe uje uangalie matajir WA Tanzania ndo utajua kuitwa billionaire sio kwa na 50m
  8. ICHANA

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tupo pamoja kamanda Changes n challenge are there waambie serikali na kumfunga mtu mdomo sio njia sahihi...yapasa wakubali mabadiliko tunayotaka watanzania wengi Mungu ibariki jamii forum dhid ya watu wachache wenye chuki na wasiopenda mabadiliko
  9. ICHANA

    Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    Huu unyanyasaji tuuu..Mungu ibariki jf Na Mungu mlinde maxence melo dhidi ya pepo wabaya wasiopenda jamii forum
  10. ICHANA

    Mahojiano BBC: Maxence alitakiwa kufikishwa mahakamani ndani ya masaa 24

    Asante zuhura Na wakili wetu.....kumbe hta kuhojiwa bado sijui wanapima akil za watu had Lin Kama mnogopwa kusemwa kwa huu uongoz wenu bhas jirekebishen
  11. ICHANA

    Watumishi TRA wafikishwa mahakamani kwa rushwa

    Haya majaa hayaendan na wakat million 50.....wamepokea 10ml.tsh plus 2500 usd Sijui hapo walikuwa wanamsaidia au kumkomoa?
  12. ICHANA

    Siku hizi hata wakitaka kujenga barabara ya 1km wanatafuta media coverage

    Wonders shall never end to Mr Konda man ##kickzamedia### afu na channel ten wakaipa kipaumbele kabisa agrrrrrr
  13. ICHANA

    #FreeMaxenceMelo: Tukibaki kimya sote tumekwisha

    Sijui uhuru wa habar upo wapi? ? Mungu mpe moyo wa kuhimili mateso na majaribu max asitoe taarifa yoyote. . Ni vigumu kusifia nyie serikali kwa kila mfanyalo. .mengine lazima tuwaambie mmekosea na mbadilike. Kaa hamtaki msisome jf
Back
Top Bottom