Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Huu si ndyo wajibu wao. Au walidhani kodi zetu ni zakulipana mishahara tu?
Hiyo miradi ya bwana mkubwa mkwere...Labda barabara za Dar, Njooni mikoani kuna ujenzi mkubwa sana unaendelea. Sumbawanga Mpanda (katavi) kiwango cha lami. Songea Masasi kiwango cha lami. Nimepita makete to Bulongwa kuna kama km 10 zinajengwa kwa lami nk
Nikweli ...Hivyo anavyofanya ndio wajibu wake Sasa apongezwe ili iweje ??? Yeye aendelee kutekeleza wajibu wakeMimi binafsi siwezi kumpongeza kiongozi yeyote yule wa serikali pale anapotimiza wajibu wake.
utendaji kazi 0![]()
Huu si ndyo wajibu wao. Au walidhani kodi zetu ni zakulipana mishahara tu?
Wewe dvn 1 yako ya tz imekusaidia nn?Mleta mada bila Shaka utakuwa ni zao la Div 5. Sidhani Kama uliielewa hiyo taarifa ya ujenzi wa hiyo barabara. Kampuni ya Grand Tech imejitolea kujenga hiyo barabara na sio serikali Kama ulivyopotosha.
Mkuu wa Mkoa alialikwa Kama mgeni rasmi kuzindua Ujenzi huo.
Hiyo miradi ya bwana mkubwa mkwere...