Recent content by ibym

  1. I

    JamiiForums Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

    Aje mahakamani tupate uhondo ule wakusema: wakili msomi akauliza hivi, akajibu hivi du!
  2. I

    JamiiForums CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

    Tatizo la siasa za maji machafu ndio Hilo kwani Chadema mnapambana na Gwajima au CCM. Chama kinayumba Kumbuka 2015 Gwajima na Chadema mulikua marafiki na akawapa mileage kubwa tu. Chadema kwasasa haija panda hoja kwa wanachama wake hivyo wanarukiarukia vihoja vya mitandaoni ambavyo havikijengi...
  3. I

    JamiiForums Kabudi: Hatutaongeza mishahara na posho za kazi kwa muda wa ziada hazitakuwepo

    Wafanya kazi ni sehemu ndogo ya idadi ya watanzania wote sawa, ila kupuuza maslahi yao kunaweza kuweka watawala sehemu ngumu . Nikundi dogo la watu lakini linanguvu
  4. I

    JamiiForums Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    Du hii dunia kunawatu wanaiendesha wanavyotaka. Inakuwaje watu wanakua na sahihi kutabili matukio yajayo hadi muda du!
  5. I

    JamiiForums Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Wenyewe wanajua nn wanafanya n y!
  6. I

    JamiiForums Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Ngoja tusikie sabab za kukamatwa...
  7. I

    JamiiForums Zuhura Yunus Mtangazaji Wa BBC Swahili!!

    Haya bwana
  8. I

    JamiiForums Yuko wapi member Gentamycine?

    Yuko bohari ya msd
  9. I

    JamiiForums Ngono kwa kupitia mdomo inasababisha Saratani

    Tanzania ya viwanda kweli kweli
  10. I

    JamiiForums Ijue nyota yako na inavyoweza kuwa sababu ya kutokuwa na mahusiano imara

    Mh wastani tenaaaa du elimu ni nyingi kweli
Back
Top Bottom