Recent content by Ibula the Grandson

  1. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Subiri siku mke akuache ndo uone
  2. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

    Shit
  3. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Mlevi aua Wanafunzi Watatu wa UDOM, Mama mjamzito na bodaboda wawili Dodoma

    Akili mgando sasa inahusiana nini na Ajali siasa hadi sehemu zisizostahili siasa
  4. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

    Akili mgando
  5. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

    Kumbe utafiti wako ni mdogo unaonaje ukachimba, we hangaika tu ila ukweli utabaki pale pale
  6. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Kama umeshawahi kushindwa Jambo lolote pita hapa

    Aisee kumbe tunaoteseka ni wengi, wacha niendelee kukomaa 🤕
  7. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

    Me siwezi tetea mwizi sijui sheria sijui nini wakati sheria zilizopo zinawalinda hao wezi wakubwa... apigwe tu
  8. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

    Poleeee sana
  9. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nimeumia hivi

    Shida hazina mwisho we achana nae umia ivoivo ila yataisha2... atarud tena
  10. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Poleeee san Bro ... ushapenda ww na dhahir kabsa unaona unaburuzwa lkn upendo ndo unakuendesha, apo kung'atuka unahitaji maamuz magumu
  11. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Hhmmm
  12. Ibula the Grandson

    JamiiForums Tanzania Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Kifo ni ukwel ambao kila mmoja wetu atapitia hata uogope vip bado utakufa tu sio ww sio mm, me naon cha msingi tafuta marafik wengne mrudie mungu maisha yaendeleee
Back
Top Bottom