Recent content by ibrahimsaidi

  1. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ni usanii mtupu

    Elimu bure ndio hiyo ila nasikitika kuona watoto wetu wa shule za msingi wanasoma ikiwa wanakaa chini sasa kwa swala kama hili mi sikubaliani na hilo swala la elimu bure kwani mazingira yenyewe wanayoyatumia wanafunzi ni magumu xana je serikali imejipangaje ili kuhakikisha wanalishughulikia hilo...
  2. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ni usanii mtupu

    Hili swala la elimu bure ni swala ambalo yatupasa tuliangalie kwa jicho la tatu na tusipokuwa makini basi elimu ya tanzania inapoelekea ni pabaya xana kwani hata baadhi ya majengo ya shule nyingi za msingi ni chakavu na hayatamaniki sasa inakuwaje tunafurahia elimu bure na ikiwa mazingira...
  3. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Tundu Lissu muda huu live

    Hii ni hatari kama hiki kipande cha mti kinakatika lolote laweza kutokea
  4. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Kweli sisi ni wachache xana kubwa ni utulivu
  5. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli; Wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 1990-2010 tumenyimwa mkopo!

    Mkopo ni muhimu kwa wote
  6. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif Wazanzibar tulikuamini, umetuangushaa-

    Nihatari xana
  7. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif Wazanzibar tulikuamini, umetuangushaa-

    Hakika seifu amewasaliti na hakuna njia nyingine kwani imefikia mzawa mwenyewe kawageuka hamna budi kukubali tamko litakalotolewa na tume
  8. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

    Pole sana dada ila kwakuwa kesi ipo mahakamani kikubwa ni kuyatekeleza masharti yaliyotolewa na mahakama ili kuzinusuru nyumba zako
  9. ibrahimsaidi

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Pole sana dada
Back
Top Bottom