Mada Moto Channel Ten: Tundu Lissu muda huu live

Magnesium

JF-Expert Member
Nov 9, 2014
317
185
Wakuu nimetune Channel 10 muda huu nimekuta kipindi cha Mada Moto live na mgeni ni Tundu Lissu wakijadili mada kuhusu "Siasa, Sheria, na Wajibu wa Kila Mtanzania".. Fungulia Tv ufuatilie

Lissu anasema hizi kauli za "ujinga' za kuanzishwa kwa mahakama ya ufisadi
 
Lissu: "Tumekuwa na mahakama ya mafisadi tangu mwaka 1984 enzi ya Sokoine... kuna kitu hakijawahi kubadilika..ukitaka kushtaki fisadi ni lazima upate kibali cha mwanasheria mkuu.. Takukuru hawana uwezo wa kumshtaki yeyote mpaka wapate kibali cha mwanasheria mkuu"
 
Hii ni hatari kama hiki kipande cha mti kinakatika lolote laweza kutokea
 
Attachments

  • 1452283454070.jpg
    1452283454070.jpg
    88.5 KB · Views: 75
huyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
 
Mona uchaguzi wa TLS umekuja baada ya serikali ya awamu ya tano mkuu...

Lakin pia kuhusu 12B, ukiambiwa ulete ushahidi unao mkuu, au utajaza maneno yako?
 
huyu tapeli wa siasa na kiingereza chake cha kijiweni bado kuna watu wanamskiliza
mbunge asiyeelewa anaongoza jimbo gani,kagombea urais wa tls kaona hautoshi,yeye na mbowe kubadilisha gia angani wakala bil 12 lowassa kawekwa mgombea urais.
huyu ni moja ya wanasiasa ndumilakuwili hawajawahi kutokea ktk historia yetu.
People educated to be STUPID!
 
Kumshabikia mtu kuwe na kiwango,inamaana wewe mwenyewe huna ubongo kiasi hicho? Anyway nawapenda sana wayahudi hata Yesu walikuwa hawamwamini saaaana...na alipata nao shida.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom