Recent content by Ibrahim_

  1. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Swali kama hili unaulizaje hapa kiongozi. Anyway hiyo ni private network ambayo ili uweze kutumia kwenye simu basi lazima simu iwe connected na network ya office husika.
  2. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania naomba kuelewa tofauti ya mtandao wa ndani na mtandao wa umma

    Hizi ni sawa na kusema private network (ndani) na public network (umma). Kwa lugha rahisi, mtandao wa umma ni intaneti ya kawaida ambayo unatumia, probably hata sasa hivi. Private network inatumika kwenye eneo fulani pekee na inakuwa na miundombinu yake inayoruhusu ubadilishanaji taarifa...
  3. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Hivi Gwajima alichukua fomu?
  4. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maharage

    Chief Kiongozi naomba kujua maharage ya dukani kama ulivyomaanisha hapo juu yanapatikana wapi, na uzaaji wake ukoje, masharti na taarifa nyingine za msingi zikoje. maana hapa nilipo (Dodoma) nimejaribu kuulizia sijayaona ila yale ya sokoni yapo mengi. NINAYOLENGA HAPA NI YALE YA NJANO...
  5. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Najua ni suicide mission, ila nimeamua kurudisha mbegu za asili shambani

    Wenye biashara zao watakuja kununua zote na kwenda kuziteketeza kiongozi. Labda uweke ukomo wa kiasi cha kununua kwa mtu mmoja pasipo mtu huyo kujirudia. Hata hivyo, ni wazo zuri sana, natamani Serikali ingekuunga mkono but najua haiwezi.
  6. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hatari sana kuwa waimbaji wa dini wajenzi huru

    Hivi unafurahiaje matatizo ya mwenzio, halafu taarifa yenyewe ni speculation tuu. Watu tunapenda sana kuhukumu aisee na je umewahi hata kuwaombea katika Utumishi wao au tunasubiri mtu akosee tupate content?
  7. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Jamani biblia haisomwi hivyo, jaribu kuelewa context nzima ya hizo sura na mistari. Inawezekana una hoja ila, ijenge vizuri. Otherwise, utajipotosha na kupotosha wengine. Lakini pia, Mungu wetu wakristo tunayemwamini hatetewi na mtu bali anajitetea mwenyewe na kulitetea jina lake. Sina uhakika...
  8. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

    Japo sijui unanunua kwa matumizi gani lakini usijaribu, ongeza hela ununue yenye core i5 RAM capacity Gb 8+. The specs for this one are too low.
  9. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    inapaswa kuwa hivyo
  10. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Bila kuathiri mada yako ni vema ujue yafuatayo 1. Naamini unajua sio kila likizo ina malipo, mtaenda wote likizo lakini watakaolipwa ni waliopangwa kulipwa kwa wakati huo. 2.Malipo ya fedha za Likizo hutegemea uwepo wa fedha. Kuna wakati fedha huletwa pungufu na Serikali na hivyo hulipwa kwa...
  11. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Israel Kijeshi

    Aisee uzi wa propaganda huu, vita haina mshindi kamwe. Ukweli mnajua sijui kwa nini mnatumia nguvu kubwa namna hii kuainisha mbabe wa hii vita. Muda utaamua, hakutakuwa na mshindi mwisho wa siku ila kuna upande utapoteza sana na mwingine utapoteza kidogo. So far mpaka sasa Palestine inapoteza...
  12. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Hapo mwisho sijakubaliana, kwa maono aliyo nayo kwenye Kilimo aendelee kubaki hapo at least for some 10 yrs. Tutafika mahali pazuri, lkn pia Serikali isaidie zaidi mechanisation kwenye Kilimo.
  13. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi ni kweli Mkuu wa nchi anashindwa kusimamia na kuwajibisha watendaji wake au anafanya makusudi kuwalea?

    We are still brushing around ili kuepusha lawama. Sio mbaya by the way, lakini Wizara inapaswa ianze maramoja utekelezaji wa kuanzisha vyanzo mbadala na kupanua kinyerezi power plant inayotumia gesi asilia. I hate that tunatetea watu waliopewa dhamana fulani lakini hawazisimamii ipasavyo. Sasa...
  14. Ibrahim_

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu: Hivi ni kweli Mkuu wa nchi anashindwa kusimamia na kuwajibisha watendaji wake au anafanya makusudi kuwalea?

    Nafikiri hapa inaangaliwa dhamira ya Waziri husika. Hivi, kwa vyovyote vile Tanzania ni ya kuwa na mgao? Sioni sustainable investment kwenye gesi, na alternative energy sources ambazo zingemaliza kabisa tatizo la umeme Nchini. Mr. Makamba na Mr. Chande inasemekana ni smart sana but mbona...
Back
Top Bottom