Recent content by Ibrahim mgaya

  1. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Musoma: CCM yaizawadia Shule kengele ya Kisasa

    Umejuaje we jamaaa utakuwa nabiiii [emoji41][emoji41]
  2. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Kwa nchi hiii au tungojee nchi nyingine
  3. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Mwambieni
  4. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Kweliiiiii kabisa umeongea fact sana LAKINI sidhani kama umefikilia upande wa hasara zake yaani ukweli ni asilimia 20 na madhara ni asilimia 80 nahisi unajua watanzania tulivyo ukisikia utataka kujalibu tyu ukimfundisha mtoto elimu ya mahusiano akisha jua unadhani atasubiri mbaka akue na...
  5. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi Cryonics inayoamini kusimamisha umri na kifo kwa binadamu.

    Hahahaha kweliiiiii hilo umenena
  6. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Naomba mchanganuo wa gharama za ujenzi wa uzio kwa kutumia wire

    Nenda ndugu kuuliza so kununua mbona
  7. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Naomba mchanganuo wa gharama za ujenzi wa uzio kwa kutumia wire

    Ndugu ungetaja hata upo wap naweza kukutajia bei za njombe ambako gogo buku jelo kumbe upo dar vilevile kwenye waya upo wap vilevile kuchima mashimo udongo wa aina gani utakuja kulopokewa bei humu ukimbie
  8. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

    Na mi ndo hapo najiuliza
  9. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Nimeona Madawa ya kulevya yanauzwa Tandika Sterio, Polisi fuatilieni

    Kaka umetoa taarifa nzuri lakini kuna mambo mawili matatu jiulize je we ndo wakwanza kuona je una usalama gani wewe hapo ulipo kumbuka this is Tanzania
  10. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    [emoji123][emoji123] story lako fup ila mmmmmh inaonyesha pana jitihada ulifanya hongera ndugu
  11. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mwenzenu anauza gariii acheni hizo
  13. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Malipo ya sensa

    Haizidi 500000
  14. Ibrahim mgaya

    JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Ulichukua simu ya aina gani
Back
Top Bottom