Recent content by ibrahim henry lesha

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ni Jukumu letu kuwachagulia na kuwaongoza

    Imekula kwako poleee
  2. I

    JamiiForums Tanzania Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

    Si dhani km Mungu wa mtikila ndiye tunaye muabudu huenda ana abudu miungu(the gods)ila pesa jamani inatisha km Dr.Slaa naye akawa yuda iskarioti.sijui yeye atajinyongea bustani ipi !!!
  3. I

    JamiiForums Tanzania PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

    Hivi watanzania ktk kesi ya meli aliyoikamata magufuli tulishindwa kesi pesa tuliyolipa ni kubwa.usiombe mzee wa kukurupuka.
  4. I

    JamiiForums Tanzania PiCHA: CCM Wazidiwa, Waenda kukodi Helkopta

    Kipindi cha chunvi,upande wa khanga elfu tano na t.shirt kimekaribia.jiandaeni kuchukua hizo ni kodi zeni.kura pigia ukawa ili mungu akupe maisha marefu .
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kubenea anawakilisha tatizo jipya la Uongo katika jamii!

    Umbumbu wa watanzania ndiyo mtaji wa CCM.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Wapiga kura wa lushoto poleni kwa kumpoteza kamanda mtui.nawaomba kitu kimoja tu !! Atakaye teuliwa na ukawa kuziba pengo hilo~mpeni kura za mahaba ili mjifariji wenyewe,kumbukeni ccm wanashangilia kwa tukio hilo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Mkutano ulikuwa na watu wengi mno ila sifahamu watu wengi walionekana wakiwa na huzuni japo walifurika
  8. I

    JamiiForums Tanzania Chiku Abwao: UKAWA ni genge la Wafanyabiashara na Mafisadi wapya wanaonyemelea Ikulu

    Chiku sikumbuki kama yule mme mlitengana naye mrudie molla wako kwa dhambi unazoendelea kuzifanya
  9. I

    JamiiForums Tanzania Al-Shabaab wakamatwa tena Kilombero, watamba wapo wengi, Mhasibu TANESCO Kidatu ahusika

    Hii dini ya kiislam mbona ni ya ajabu?mbona wakristo hatuna hiyo roho?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Geita chavamiwa, Askari wauawa!

    Poleni kwa tukio baya~cc huku msm tunaomboleza ajali ya balabalani ya jana trh.5
  11. I

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na hii namba

    Hao ni mataapeli siku hizi wana mbinu nyingi sana,ila elewa tapeli hufanyia anaowafahamu atakuwa ni mtu anakufahamu sana,
Back
Top Bottom