Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Kwa baadhi yetu ambao tumebarikiwa karama ya kuona mbali zaidi ni jukumu letu kuwachagulia na kuwaongoza wenzetu ambao hawajabarikiwa huwo uwezo!
Sisi wengine tunaona kwamba huu uchaguzi ni vita baina ya Uadilifu dhidi ya Ufisadi (fisadi Lowassa, Rostam, Karamagi & Co.), ni kati ya Mungu dhidi ya Shetani sasa hii siyo vita rahisi kwani Mafisadi kwa kuwa Mungu wao ni shetani na sote tunatambua nguvu ya shetani kwenye maamuzi yetu.
Hivyo basi ni jukumu letu kuwaamulia na kuwachagulia kwanibila ya sisi kuwafanyia hivyo watapotea halafu kesho watakuja kutuambia ni kwa nini haukutusaidia wakati tunaburuzwa, kumbuka hata mtoto wako nyumbani kuna wakati inabidi umuamulie na kumchagulia kwani wewe ndiyo unajua kitakachomfika kwa kumuachia yeye kila kitu!