Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo.
Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6 Feri-Maweni, Kilometa 2 Maweni-Kisota), ina umeme (Luku) na maji. Pia kuna water reserve tank.
Imo ndani...