Nyumba inapangishwa Kisota, Kigamboni.

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,730
2,000
Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo.

Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6 Feri-Maweni, Kilometa 2 Maweni-Kisota), ina umeme (Luku) na maji. Pia kuna water reserve tank.

Imo ndani ya compound pamoja na nyumba nyingine. Usalama wa kutosha.



Mawasiliano: 0787377511/0719055711
20190309_115949.jpeg
20190309_115955.jpeg
20190309_115415.jpeg
20190309_115649.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
135,369
2,000
Bei yake fair sana mr. Dalali.....yote hiyo kwa laki na nusu tu?
Hiyo bei umeipata wapi mbona hajaandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigamboni maisha marahisi kumbe .
Nyumba yote hiyo kwa laki moja na ishirini .duuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya elfu 50 tu noma sanaaa...
mm nimewaelewa sana mmejitajia bei sababu dalali hajaweka bei yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom