Raha ya pombe ni uinywe alafu isituvunjie heshima Kwa mkeo. Kuna bia zinalaza maumbile ya kiume,piga ya garagaza. Mkeo akiwa na roho nyepesi atakwambia umegonga nje.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Maisha ya kazi hata kama unalipwa milion mbili.....inabidi uhakikishe umejenga nyumba ya maana, umeoa na Una shamba Kwa ajili ya kulima mazao ya chakula cha familia,trust me hata wakikufukuza utamshukueu Mungu kwasabab Una nyumba,Una mke na unaweza kulima.
Kwenye ajira kuna ujinga mwingi...
We utakuwa Mwananchi. Nisaidie link ya whatsup please kwenye dm yangu. Nilifrash SIM ikapoteza magroup yangu ya Yanga. Usiitume humu wanawake wataidandia
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Biashara ya voda,tgo, Airtel,halotel,ttcl na mingine nisiyoijua...inafanana yote kwamaana wote wanaangalia faida na vifurushi vyao vinafanana. Mimi nimehama mitandao mpaka nkachoka. Sasa hv Nina laini mitandao yotee Ila kila siku nashindwa nichomeke laini ipi au Niache ipi. So chagua mtandao...
Uko vizuri kujielezea mshikaji wangu. Naona MALENGO yako yameanzia kiasi kikubwa Sana cha hela kitu ambacho kinaweza Fanya usiaminike,na vile umetokea mkoa wa dar ambako unaaminika Kwa utapeli,sijamaanisha we ni tapeli.
Labda Kwa ufupi,unahisi Una kitu chochote ambacho kitamfanya mwenye...
Boss,inaonekana Una ujuzi Kwa hii biashara,Niko interested Sana Ila ishu ni kwamba walio wengi wanaoifanya ukiwadadisi wanakudanganya wanakupa habari zinazokuchanganya ilimradi uione biashara ngumu uiache.
Tusaidie mawazo,binafsi Niko Mwanza na natamani kupeleka samaki au dagaa dar. 0764789563...
Kila siku natafuta mtu aliyeko dar au Arusha,anayehiyaji kusambaza dagaa za Bukoba zisizo na mchanga. Eidha anunue yeye au atafute masoko Mimi nilete dagaa,kusafirisha ni juu yangu naleta mpaka sokoni tunauza alafu mi na wewe tunalipana alafu nasepa zangu.
Mkuu hiyo hela yako inatosha Sana,mi nakushauri ujengee kwenye makaratasi Kwanza,piga hesabu ukiwa na fundi wako. Na baada ya hapo ndo uanze kununua vifaa,epuka kununua kadri ya matakwa ya fundi na usijifanye kama Una hela. Fundi akisema msingi mzima unahitaji cement 80 we nunua 25 weka stoo...
Kesi kama Hz ni za kawaida Sana mbona? Ndugu Wana haki ya kuomba discharge hata kama mgonjwa anataka kukata Moto. Sasa subiri muone Binadamu walivo wa ajabu, Nina uhakika ndg waliomba kuruhusiwa ili wampeleke sehem nyingine,na baadae ndo wakaamua kubadilika hv. Khaaaa Binadamu hadaaa unaweza...
Mimi nadhani walioongea haya mi ndg WA mgonjwa na wana hisia zao juu ya mgonjwa wao. Pia hii ajali haina tofauti na ajali nyingine zinazotokea kila siku,Ila hii naona imechukuliwa tofauti eti kwasabb kagongwa na mwanjeshi kitu ambacho sio sahihi.
Tatizo la ndugu wa wagonjwa huwa wanabaa,Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.