kama ningekuwa kama mimi mwigulu kiukweli nisingethubutu kujitokeza kwenye king'amuzi cha startv.lakini huyu jamaa katokelezea huyu ndo mwigulu msomi ambaye elimu yake haimsaidi yeye walamke wake na watotowake.
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na...
Ndugu zangu watanzania kwa mara nyingine tena mbeya yalipuka kwa moto,mara hii ni eneo la ndaga ktk wilaya ya Rungwe barabara ya malawi mbeya.vurugu hiz zimetokana na kitendo cha serikari kuweka ushuru mkubwa wa mazao ktk enenm hilo.Vurugu hizo zimepelekea kuchomwa kwa matairi barabarani na...
mimi nimjuavyo kibonde ni mtu mwenye utani mwingi,so sitaki kuamini kuwa alikuwaserius ktk hilo ila naamini kunaujumbe alikuwa anaufikisha kwa walengwa hivyo kibonde si mtu wa hovyo kiivyo jipe mda wa kuktafakas4 kauri zake.
ni kweli mkuu usipate shida hata mwanafunzi hujipongeza kwa kuongoza ktk darasa lake bila kuzingatia uwezo wa washindani wake hivyo hosea yuko sahihi kujipongeza maana anaona amefanikiwa wakati sisi tunaona hakuna kitu kafanya na hivi sasa yuko hewani kupitia itv na se.munzv
hata mimi wewe mwandishi wa mada sijakukubari,kwani wewe unatakaje?kipanya kaelekezwa cha kufanya ile kazi si yake nenda kwa gazeti la mwananchi uone vitu vyake.
Jamani sijaamini nilichokiona na kukisoma kwenye gazeti la tanzania daima jumapili hii,ndugu zangu wanajamii forum kwenye gazeti hili ukurasa wa 8 kuna habari na picha ya mwanaume aliyeota maziwa kama mwanamke inaanza kwa kusema hivi:Kuirhi ni kuona mengi hasa baada ya kumwon
by Baraka Mfunguo at Friday, June 01, 2012 0 comments Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook,KWA nini tunazungusha maneno? Tuseme ukweli tu kwamba endapo Muungano utavunjika wa kulaumiwa si Wazanzibari bali ni Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeshindwa kuonyesha uwezo wa...
nasikitika kuwa mmepoteza maana ya topic,topic inasema "kama suala ni muungano makanisa yanaingiaje?" hiyo ndiyo agenda naomba tuijadili kunamahusiano gani kati ya muungano na makanisa naomba niseme kuwa ndugu zangu wazanzibari acheni hayo mnayo yafanya maana kila unachopanda utavuna na hii...
kwa tafsiri ya wanyiha wa kule mbozi mbeya neno'shibuda'linamaana ya muuaji.Sasa kama hii ni tafsiri sahihi basi shibuda na kauri zake zinaonyesha jinsi alivyokukuwa amenuia kuua upinzani ila sasa ameshindwa ananza kuweweseka dawa yake ni kumpuuza kama mh:Samweli Sitta alivyo mpuuza DAMU K.malima.
Ndio siogopi mtu hasa ktk swala ninalo ona linalenga kuninyima haki yangu kama mtanganyika hata kama nimezaliwa ndani ya inayo itwa Tanzani.Ngoja niwaambieni ndugu zangu wana wa JF mimi nimebahatika kuiona katiba ya nchi yangu ya Tanganyika,Japo kwa mbinde lakini nimeipata na nafanya mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.