Mwigulu nchemba ndani ya tuongee asubuhi Star TV

Hata ukimuangalia usoni huyu Mwigulu utamgundua tu kwamba yupo hivi
1. Anapenda kuropoka.
2. Anapenda kujipendekeza kwa m'kiti wake, hata akiambiwa amlambe miguu utaona atakavyoifakamia.
3. Aanajiona yeye ndio CCM mpaka anampiga fimbo NAPE

mwisho......... Mimi sipendi hata kumsikiliza, asubuhi nimefungua star tv nikakutana na lisura lake nilibadilisha channel fasta. hili jamaa kweli pumba.
 
Watu kama Mwigulu walikuwepo hata Iraq na Libya, watu ving'ang'anizi hata kwa jambo ambalo ni bomu ila mwishowe waliishia kukatwa vidole na shingo.
 
Sasa kama miswaada ya serikali inapopelekwa bungeni, lazima Wabunge wa CCM waiunge mkono, sasa kuna haja gani ya wao kuendelea kuwepo humo bungeni wakati mwisho wa siku kura hupigwa? Na maadam wapo wengi+Cheyo, ni kwanini kupoteza muda badala ya Spika kusema siku ya kuletwa muswaada kwamba maadam wabunge wengi humu ni CCM, na wote watakuwa automatically wameunga mkono muswaada, kwa hiyo muswaada automatically umeshapita!
 
Kama kuna siku nimependa kauli za Mwigulu ni leo. Amekubali kuwa pale bungeni most of the tme anakitetea chama kwa kuwa mwenyekiti wao hayupo pale wakati vyama vya upinzani wana wenyeviti watatu mle ndani.

Sasa sisi tulikuwa tunamtahimn kama mtetezi wa wananchi ndo maana tulikuwa tunamlaumu kila siku.
Ukiwa CCM akili yako inakuwa zaidi ya ile ya kibudu maana unatetea hata usiyoyajua na kuyaamini kwa nafsi na mwili. Kwa tafakari hii, Mwigulu yuko sahihi kwa yote anayoyafanya buneni.
Naomba tumpigie makofi matatu
 
Naomba tumpigie makofi matatu,ndiyoooooo
 
kama ningekuwa kama mimi mwigulu kiukweli nisingethubutu kujitokeza kwenye king'amuzi cha startv.lakini huyu jamaa katokelezea huyu ndo mwigulu msomi ambaye elimu yake haimsaidi yeye walamke wake na watotowake.
 
Amejipambanua ni ktu asiye na Haya na Mwongo asiepaswa kuaminiwa na jamii ya Waungwana
 
Back
Top Bottom