Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema anatafakari uwezekano wa kuanza tena kuwanyonga wahalifu nchini humo.
Rais Museveni amesema licha ya kwamba yeye ni "Mkristo" kuwa dini yake imemzuia kutekeleza hukumu ya kifo dhidi ya wale ambao wamehukumiwa kunyongwa, hata hivyo amesema, hali hiyo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imekataza kilimo cha pamba cha mkataba kwa sababu kinawanyonya wakulima.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua zahanati ya Hunyari wilayani Bunda, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mara.
“Ni marufuku kwa wanunuzi wa pamba...
youtube ni mtandao ambao unakuwezesha kuweka video yako mtandaoni ili watu waweze kujua kipaji chako kua na channeli yako mwenyewe youtube sio jambo la msingi sana
kwani cha msingi unatakiwa kuifanya channeli yako ikuingizie pesa.kupata p[esa youtube ni jambo rahisi sana unachotakiwa tu ni...
Maswali yangu ni haya:
1.Tume ya Uchaguzi imebadilika?
Kama haijabadilika,tumejipangaje?
2. Wakurugenzi na watendaji wa Kata watakuwa fair safari hii?
Kama hawatakuwa fair,tumejipangaje?
3. Tumejipanga vipi kukabiliana na wale wavaa sare tunaowalalamikia kila kukicha?
4. Tumejipanga vipi...
Wasanii wa Bongomovie walijumuika pamoja kushiriki kwenye mazishi ya mama mzazi wa Msanii mwenzao Johari. Mama Johari amezikwa January 18, 2018 na msiba ulikuwa nyumbani kwake Mburahati DSM.
Samahani wakuu Mimi ni blogger sasa nilikua najaribu kuweka AdSense inayoitwa propeller ads hawa jamaa wanalipa hela nzuri tu lakini nimeshindwa kujiunga nao wananiambia ni verify website yangu nifanyeje sana jf home of great thinkers.
Umoja wa Afrika umemtaka Rais wa Marekani, Donald Trump kufika katika kikao cha umoja huo kitakachofanyika nchini Ethiopia mwezi huu kutokana na matamshi ya kibaguzi anayodaiwa kuyatoa hivi karibuni kuhusu nchi za Afrika.
Trump anadaiwa kuziita nchi za Afrika kuwa ni ‘shimo la choo’ (shithole)...
Nini maana ya kansa ya ngozi?
Hii ni uharibifu wa ngozi unaotokea katika seli ya ngozi na kukufanya uweze kusikia maumivu makali sana, ugonjwa huu hutokea kwasababu mbalimbali kama zifuatazo;
1.Kukaa juani kwa muda mrefu- hii hufanya miale ya jua kisasyansi tunaita ultraviolent rays kupeneya...
Habarini wakuu Sikuhizi kumekua na blog na website nyingi sana lakini ukiwauliza wanapokea kiasi gani kwa mwezi,ni kilio cha mbwa koko kwani mtu anadhani kua akishajiunga na google adsense basi ndo mwanzo wa mafanikio hapana.ili ufanikiwe unahitaji uwe mbunifu ili uwavutie wasomaji wako.kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.