Recent content by IBONELO

  1. I

    JamiiForums Tanzania Greetings: Happy merry christmas and happy new year 2022. To all JF users

    Amina wapendwa Muumba Wetu Awabariki Sikukuu hii iwe njema kwenu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako, naona kama Elimu haiendeshwi naye bali inajiendesha yenyewe

    Hapo ndipo mtihani ulipo Mi mwenyewe binafsi sielewi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Acha kuzingua
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yakanusha uvumi kwamba Waziri Mkuu alisema hakuna Wimbi la Nne la UVIKO-19

    Lugha Gongana hiyo sasaa
  5. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee wilaya ya Mwanga kuweka viyoyozi kwenye madarasa mapya, ni kufuja pesa

    Kwa Nchi yetu ni mazoea
  6. I

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni Nembo ya Taifa ya Bibi na Bwana aliwaza nini?

    Hakika hilo nalo nenoo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa kujadili hali ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Mi naona mama yuko vizuri sana kwa mtazamo wangu watendaji wake sasaa ndio...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa kujadili hali ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Ratiba walivyoipanga ndio Kizungumkutiii Hamna mjadala hapo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Star TV: John Heche vs Chegeni, kuna mjadala mkali sana kuhusu bandari ya Bagamoyo

    Wee/e Heche ni namba nyingine
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Wewee Maisha ya Kiumbe chochote kile formula yake anayo Muumba wetu pekee Sio kwa Ujanja wa Kiumbe chochote walaaa Na ukitaka kubisha kuhusu hilo jiulize swali moja Hivi hakuna watu waliwahi kumiliki pesa zaidi ya Bilion na sasa hawanaa? Ukibisha kuhusu hilo jiulize je? Mafisadi waliochota pesa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Yanayomkuta Ndg yangu Polepo, au yatakayomkuta yapo nje ya uwezo w... Hapo kama mwelewa huitaji Shulee Majibu unayo mwenyewe
  12. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Hakika Maisha yana Changamoto zake Kama kuna mtu aliwahi kutajirika na akafirisika unafikiri tatizo lilikuwa ninii? Alikosa kuweka akiba? Alikosa Akili? Au alipatwa na nini? Ukipata jibu la hayo nilouliza basi elewa sio kuwa kuwa tajiri kwamba una akili sana au unajua kutafuta kuliko wengine...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Huu mziki ujue sio kila siku itakuwa hivi Siku nyingine zinapita patupu Niambie hapo Akiba inawezekana Yawezekana na kukosa ulishakopa ili uweze kusonga bila hivyo mm mi simoo
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Unapoongelea swala la kuweka akiba zingatia na kipato chako unafanya kazi gani! Machinga wa mtaani kuweka akiba aisee labda kama una biashara kubwa Vinginevyo mmm kasheshee
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mpo upande gani na wajibu wenu ni nini?

    Muda nao unakwenda mbio
Back
Top Bottom