Recent content by Ibofwee

  1. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa udumavu wa watoto yatajwa

    Kwa sayansi yako grains na nuts tu ndo makundi ya chakula yanayopunguza udumavu?
  2. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa udumavu wa watoto yatajwa

    Yan Iringa kuna udumavu kuliko dodoma, ifike mida tuheshimiane nyie watoa takwimu
  3. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

    Mmeona story za SGR wananchi wanawapuuza mmeanza za corona. Mbogamajani akili zenu ziko wapi?
  4. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nasubiri ile Kamati imkaripie Mchungaji Katunzi kwa kumpigia kampeni Magufuli

    Nayapenda mahubiri yake lakin kwa huu undezi wa kuwatetea hawa maharamia wa kijani, natangaza rasmi kuacha kumsikiliza
  5. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yunwa hivyo hivyo
  6. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kwa kiongozi wa Umma kutoa matamshi kama haya

    Muoga sana huyu jamaa, Jerry Muro alikuwa anampelekesha atakavyo
  7. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mendy ni kepa wa kiafrika
  8. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tayariiiiiiiiii
  9. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Kudadeki mboga majani mnazid kupoteana mchezoni, bado kesho nyomi la mjini Moshi lazima mtapike nyongo.
  10. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Mahera atumiwa barua ya vitisho

    Huyu jamaa hana uwezo hata robo wa kusimamia hiyo nafas, yaan muda wote anawaza kuilinda CCM
  11. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Hakuna chifu mwenye ushawishi iringa, wote ni utopolo
  12. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ADC, Queen Sendiga aahidi kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko

    Ukiachana na Lissu pamoja na mzee Rungwe huyu maza nae anajiweza sana jukwaani. Sema kachagua platform mbaya tu haitomfikisha mbele
  13. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Acha umama, njoo hapa uokoe jahazi. Bao la 4 tunalisubiri hapa
  14. Ibofwee

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani nchini: Marufuku kampeni makanisani na misikitini

    Matapeli wa imani
Back
Top Bottom