Recent content by ibnallys03

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lamination mizigo airport Mwanza, ufisadi mpya

    Habari ndugu. Mimi ndio mtoa huduma hapo. Niko tayari kutoa ufafanuzi juu ya suala lako,ninapenda kukuhakikishia na kuwahakikishia wanajukwaa wote kuwa katika viwanja vyote duniani huduma hii si ngeni na hasa katika aina ya mizigo uliyotaja na kuhusu bei ningependa ufanye research kwanza ili...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Je unataka ambayo ni special ya dukani au ya kubumba? Ninachofahamu mimi kuna mtu anae tengeneza incubator ya mayai 450 na huwa anauza hadi laki 5.ukiona unaihitajia nitakupa muelekeo
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kibali cha kufuga kasuku kinapatikanaje?

    Habari wana jamii. Mimi ninapenda sana kufuga KASUKU nyumbani kwangu kutokana na vimbwanga vyake na pia nina mapenzi sana na ndege wa kufugwa.ila nasikia kuwa lazima niwe na kibali kutoka maliasili. Sasa ningependa kujua kuwa ni utaratibu gani ninatakiwa kuufata ili kupata kibali kabla...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Air mail msaada

    Mimi nina shida kuhusu hii AIRMAIL, Nimetumiwa package kutoka china kwa njia ya AIRMAIL lakini sijui hiyo package ntaipaje itakapofika na sijui itafikia ofisi ya carrier gani. Tafadhali naomba msaada wa mawazo na maelekezo kwa yeyote atakaeweza na mwenye Idea juu ya hili.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Matiti yangu yako tofauti nifanyeje?

    Pole sana kwanza. labda nikuulize hilo titi lililo lala halijawahi kuchomwa na kitu chenye ncha kali? huenda lina pancha. tatizo lako ni dogo,nenda kwa waziba pancha waitafute pancha ilipo, waizibe. kisha wajaze upepo kama 30 hivi au 40.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Gari la Waziri: Kutoka Dodoma Kuchukua Koti la Waziri Dar Kuliwasilisha Dodoma haraka!

    Tafadhali sana kaka,uongo umeisha tuchosha,laiti hiyo story ungempa kipofu huenda angekuamini akidhani kwamba koti ni kitu kikubwa kama mlima hivi.Ila sisi wenye kuona usitudanganye bwana. USHAURI WA BURE...... peleka hadithi yako kwenye kijiwe chochote cha kahawa kilicho karibu nawe, utawapata...
Back
Top Bottom