Recent content by Ibn arab

  1. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Nimesutwa na mwanamke hadi nikawa mpole

    Mkuu pole sana mimi hayo yashawai nikuta sema sijasutwa wala nini,unajua huwa inaumwa sana unapoona mwanaume mwezio anafanyiwa ivyoo, mimi ilinikita kwa jirani yangu anamke wa pili watu wanamgongea ila mie nilimwambia kwa mafumbo sikumfungulia kurasa ila jamaa alishindwa himili mwanamke...
  2. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    mkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia , kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie
  3. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Sipendi mwanamke anayevua chupi mwenyewe

    na wasio vaa nao mkuu inakuweje maana wengi saiv hawavai.... naniiiiuuii[emoji4][emoji4][emoji4] eti joto
  4. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Kwaheri mchepuko Wangu

    hahahaha duh hatar hii
  5. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ana mke

    Dada angu si kila mwanamke ameumbiwa mwanaume wake, nyinyi kwanza mko wengi kuliko sisi wanaume sasa ukikaa usubiri wako peke yako hutumpata bora kubanabana umo umo, maana mkisima kila mtu angoje wake , wengi mtakosa waume
  6. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Katika Secta ngumu Kuwekeza mapenzi japo ina wawekezaji wengi

    sawa mkuu wache waje , Ntajifunza mengi maana kila mtu na upeo wake ila tu matusi hapanaa...... kuuliza sio ujinga[emoji38][emoji38][emoji38]
  7. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Katika Secta ngumu Kuwekeza mapenzi japo ina wawekezaji wengi

    Habar za asubuhi Tumaini langu ni wazima nyote, na kwa wale wenye mitihaani mbali mbali basi nitumie fursa hii kuwaombea mola awape takhfifu katika yale mnayokabiliana nayo, Sina lengo la kukatishana tamaa kwa wawekezaji wa ndani au wanje, nisije nikanukuliwa kama muhujumu mapenzi...
  8. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Chura kuwa wengi Dar inasababishwa na nini

    madimbwi mengi dar ndomana chura wengi[emoji4][emoji4][emoji4]
  9. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    Tigo nimemave "mkata kimeo keko"
  10. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Clinton na Trump: Nani anaongoza?

    ngoja tusubiri tuone muda utaamuwa
  11. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Upendo wa mtoto wa kike uko moyoni, ila kwa sisi watoto wa kiume upo akilini

    mmmmm[emoji52][emoji52][emoji52]
  12. Ibn arab

    JamiiForums Tanzania Upendo wa mtoto wa kike uko moyoni, ila kwa sisi watoto wa kiume upo akilini

    [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Back
Top Bottom