Recent content by IBHF

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

    Tutafute hela tu jamani tuache makasiriko
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Sawa.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Tusiwe wepesi wa kuhukumu, unahisi Gambo ni mpumbavu wa kwenda kuzindua au kunadi daraja la aina hiyo? Lets dig and gets the fact kwanza, hiyo awamu ya kwanza inayozungumziwa ni ipi tafadhali?
  4. I

    JamiiForums Tanzania Usitume kwenye Voda kuna Songesha!Wakuu hivi kuna Mtanzania mwenye line ya simu ambaye hadaiwi?

    Mostly tunakopa na sio kwamba, mara zote anayekopa amechoka nk. Mazingira hutegemeana. Unaweza ukawa na cash in hardcopy (taslimu) na huna hela eletronically muda huo, songesha might do the needful. After all, tatizo sio kukupa bali, unatumiaje hela husika na je, are you financial liquid...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nadhani kumiliki iPhone ni utumwa na tunakoelekea utakuwa ni ugonjwa

    Unamiliki simu gani ndugu yangu?
  6. I

    JamiiForums Tanzania One stop business center ya Ubungo ikijengwa itaua Kariakoo na kubadilisha mfumo mzima wa biashara Kwa Tanzania na nchi jirani

    Uoga ndio umasikini aisee! Katika maisha changamoto hazikwepeki, bali changamoto ni fursa ya kujitafakari na kujidhatiti kuendana na changamoto/ushindani uliopo. And by the way, kila mazingira yana radha ambayo huleta aina ya watu fulani. Awali ilihofiwa Karume kudhoofisha Kariakoo lakini...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

    Ni huyu Chriss Brown aliyecheza nyimbo ya Missomisondo?
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ustaarabu ni sifuri, unakaribishwa chakula Una agiza zaidi ya aliyekukaribisha

    Wewe umemwambia aagize chakula then unalalama! Its eaither ungemuaguzia au kumjulisha kwamba, unaweza mnunulia chakula cha kiwango fulani. Kwani yeye alikuja mgahawani kupiga picha! Ukiwa na less balance then stretch according😂
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Kaka, majeshi yote hufanya uwekezaji kulingana na hali ya maendeleo ktk sekta ya ulinzi. Aidha, nguvu ya kijeshi kwa nchi za kawaida huwa ni siri. Mataifa yaliyoendelea na baadhi ya mataifa ya Afrika ndio huweka wazi taarifa za maendeleo ya kijeshi. Nakumbuka kuna sherehe za maadhimisho ambapo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Lengo la onyesho husika ni ukakamavu! Sifa muhimu kwa askari ni ukakamavu na ustahimilivu! Nilisikiliza kdg ambapo, mshereheshaji alieleza kuwa, wamebeba zana zenye zaidi ya kilo 70 ambazo zinamwezesha kutekeleza majukumu yake kwa siku 30 bila kuhitaji msaada wowote! Cant u give credit to that...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hii mvua haihitaji chai, sweta wala mpenzi

    Uko sahihi, kwa kuzingatia hali ya miundombinu na changamoto zake, grab popcorns na movies tu. Kadhalika, jipongeze kwa kupumzika.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Genius....? Genius sana! Naona uchambuzi wako umehusianisha kozi ya shahada kama kigezo cha kuwa genius, i doubt kama umeelewa vema maana ya neno genius na genius sana.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mnaokunywa Pombe kwanini mnatushawishi tusiokunywa?

    Sasa ndugu yangu umekaa na wanywa pombe! Unataka wakushaurije? Nadhani huo ninushauri sahihi kwa aina ya watu unaojihusisha nao. Hebu kakae na Wachungaji kisha uje ulaumu hapa endapo watakuhamaisha kunywa K Vanteee
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Aisee! Ulikuwa tayari kuoa kweli! 🤔
Back
Top Bottom