Recent content by ibby

  1. ibby

    Elon Musk hufuatiliwa na Walinzi wake kila akiingia ofisi za Twitter, hata akiingia Chooni

    Cristiano Ronaldo once said that!!!! hadi aliongea akilia na kudai kwamba anatamani aangekua mtu wa kawaida na sio celebrity....
  2. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Mrejesho ... Kheri za mwaka mpya....wanajamvi... baada ya suluhu za hapa na pale vikao kila siku aliamua kuondoka ndani kakimbia nyumba na kuniacha na watoto 2 (6years old son...2 years..girl) niliona sina budi ya mimi kupambana kiume aliondoka mwezi wa 3 after 3 weeks alirudi na kuniomba...
  3. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Unapotowa malalamiko Mara kwa Mara utaitwa mlalamikaji... Watu wapo bize na Yao si sana ku kujali wala kuingilia mambo yako..... MUNGU akubariki sana kwa ushauri wako.... Nilikua na hofu ya Bure tuu kuhs watoto ila nikiwaza naona pia nikiendelea Hali hii itawagusa watoto pia.... Be blessed my...
  4. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Nilimtembezea kipigo previously.. Ila nikagundua nitakuja kukosa uhuru wa kupaona nje(prison) mana sheria za huku ni balaa
  5. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Maisha ni tofauti na unavyofikiri boss!!! Don't talk things u don't know.... Itakusaidiza sana maishani mwako...
  6. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Kwenye uchumba mambo yalikua tofauti sana kila mtuu alinipongeza kwa kweli hata wazazi pia... Mambo yali badilika alipofika ndani... Hapo ndipo nikaona nisicukuwi uamuzi haraka nikizani atabadilika..
  7. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Unapo safiri na watoto hasa kwa baba lazma uwe na vibali vya kuruhusu usafiri nawo kutokaa kwa mke ambae ndie mama watoto... Sio rahisi kivile...
  8. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Wapo africa misipo Africa ... Mi kitambo sipo Africa nadhani hi ndo changamoto kubwa sana inasabisha mana a naona Sina pakuchomokea.... Mana huku loss dogo umenyanganywa kila kitu aisee!!! Hata watoto unaweza kupigwa ban nao..... Niki plan nimuachie watoto naona wata sumbuka saana...
  9. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Asante sana Mungu akubariki... Kitu kitakacho sababisha niwe mbali na watoto wangu sitaki kukiskia kiukweli.... Huku mwanamke hapigwi.... Utawekwa jela fasta (women abuse)
  10. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Mnapo kuwa kwenye uchumba in general wanawake mnaficha mengi....
  11. ibby

    Mke wangu ni msumbufu, mwenye ulimi mkali na mkorofi

    Habar za saa hizi jameni... Nimeoa mke miaka 6 iloyopita.. Nilidhani mambo yatabadilika ila Tabia ilizidi kuwa sugu kila kukicha... Tabia yenyewe anaulimi mkali saana. She don't have respect in brief. Nimejaribu kumsihi ila hamna mabadiliko... Ana dhihirisha hataki tuwe pamoja... Ila...
  12. ibby

    Mzungu huyu atakuwa ameamua tuachane au yuko busy?

    Tea with no sugar [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. ibby

    Naomba kujua utofauti uliopo kati ya gari "manual" na "automatic" kifaida na kihasara. Na pia naomba kujua kiundani kidogo dondoo za RAV 4 manual

    Kwani unapata mtu ambae Ana endesha automatic car ila manual hawezi?? Na leseni bado anayo??? I don't get it..
  14. ibby

    Hofu inayotawala Mataifa ya Ulaya Dhidi ya Waafrika na Bara lao

    Sababu kubwa ni wazungu ambao wanawatumia viongozi wetu wasiyo jielewa Wazungu wanasababisha matatizo ulimwengu mzima si Africa pekee
Back
Top Bottom