Acheni kuongea ujinga hapa jamaa amesema kweli serikali itoe jibu kamili kama hakuna ajira basi watu wafanye mengine. Puumbavu hapa Lowasa kufanya nini? Jenga hoja mkuu acha uchadema na uccm watu wanateseka sana!
Sio mchawi wala siombei watu kukosa kwani hata mimi ni mwathirika wa ajira. Tatizo mwenye wa kutoa ajira ni kungwi mkuu. Hivyo hakuna mwenyeuwezo wa kupiga njuga, vigelegele na ngoma pasi na amri ya kungwi mkuu. Kwahiyo hata wasaidizi wake hawajui kisu cha ngariba kitafanya kazi lini ili kungwi...
Pia mkumbuke hii ni serikali ya kubana matumizi hivyo haiwezi kuingia ghalama ya kukupeleka vodafaster Wakati wapo walimu watalamu waliosomea tena kwa kukopeshwa na bodi ya mkopo. Wakifanya hivyo falsafa ya kubana matumizi itakuwa imewashinda kwa % 100.
Acheni kuvamia fani. Majibu ya bungeni yamejaa siasa tupu! Tokea miezi wa pili wanasema watatoa ajira. Kuna walimu wa hesabu kibao wamemaliza degree UDOM awamu mbili mpaka sasa kwanini wasiwaajiri? Kuna walimu wa physics chemia na biology waliohitimu St John University, Mkwawa University, DUCE...
Kama wanataka wafunge kamera za CCTV kila shule na kila darasa lakini kwa mpango huo hakuna kitu. Hapo wanatafuta njia ya kupiga hela. Mungu isaidie tz.
Ona maisha yalivyo kwetu walimu.
Mh*Rais* kama usemavyo ww kuwa msema kweli ni mpenzi wa *Mungu* nami leo nasema kweli ili *Mungu* anipende na ww mh usikie kilio chetu sisi watumishi wa serikali hususani *walimu*....Mh Rais Magufuli kpind unaomba kura zetu ulituahidi ~nakunukuu~ ulisema...
Tutumiee vyombo tofauti vya habari kama tv magazeti na radio kuullizia ukweli kuhusu ajira lini watatoa majina? Kama kuna ghala tuchangie waajiriwa tarajali hata tsh 500 kwa kila mtu cha msingi serikali itamke wazi.
Toa maoni ya kuboresha sio kukanusha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.