Kuna rafiki yangu amepoteza pay slip ya 155,000 ya malipo ya chuo. Naomba msaada wa mawazo, afanyeje ili apate nyingine? Kuna gharama za kulipia kupata nyingine?
Anaweza kwenda kwenye hicho chuo wakaitisha Bank Statement ya siku hiyo aliyolipia wakajiridhisha na kumkatia risiti au aende benki watamtolea copy ya ile slip iliyobaki benki ila ni mlolongo mrefu kidogo na atatakiwa kuandika barua kwa meneja
Hivi huwa kuna ugumu gani kusema "Nimepoteza pay-in-slip" ya benki badala kusema kuna mtu amenituma kuulizia hapa JF? Yeye ni Kila.za hawezi kuuliza mwenyewe? Huu muda uliopoteza kuuliza hapa ungekuwa umeshafika benki kuulizia utaratibu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.