Recent content by ib1

  1. I

    JamiiForums Tanzania Yafahamu mambo 10 ya kuepuka ili Sheria ya Mitandao isikupitie

    haya wakuu ngoja tuzicheki zikianza wangapi watateleza
  2. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    upinzani unaelekea wapi na je ni makubaliano gani yaliyokiukwa tunaomba watuwekw wazi wapigakura :israel:
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    karibu nyumban ukawa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kanizalisha, ananibana kufanya mambo yangu na hana mpango wa kunioa, Nifanyaje?

    Kweli maisha hayo 50000 kwa mwezi anaona nazo zinatosha na kujisifu anapewa matumizi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Updates za zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa Mkoa wa Dar es salaam

    Jaman mabibo vipi wameanza mana sehem nyingi nambiwa mara mashine hazijafika mara mbovu cjui kata yangu wameshaanza mana nakisubiri kwa ham
  6. I

    JamiiForums Tanzania Majambazi warushiana risasi na Polisi, Clock Tower jijini Dar

    hongeren polisi kwa kufanikiwa kukamata wahalifu kabla hawajafanilkisha madhumuni yao but tunaomba tupate taarifa za waliovamia kituo cha ukonga mana mnaonekana kuzidiwa kete
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    jaman hali hii mpaka lini ila tatizo askari wa sasa wamezidi kuwa karibu sana na raia ikiwemo majambazi mfano kitendo cha wao kukaa uraiani binafsi sikiungi mkono
  8. I

    JamiiForums Tanzania Beatification of Lowassa starts here

    hamna kitu kama hicho mana wanaoamua kuwa rais awe fulan ni wapiga kura utabiri mda fulani hauna ukweli binafsi sijawahi kuona hicho kitu kwamba fulan kwa sababu katabiri itakuwa hivyo hiyo ni bahati nasibu watu wanatafuta umaarufu kupitia njia tofautitofauti
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    ama kweli kwa picha hizo sina comment mana wanafanana kwelikweli
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    jaman hii inchi wapi tunapelekwa?uongozi utaendelea kuwa mbaya mpaka lini?watanzania tuwe makini katika kufanya maamuzi ya kumchagua atayetuongoza :spy:
  11. I

    JamiiForums Tanzania Badoo inanivunjia uchumba wangu

    pole sana best hayo ndo mahusiano kweli huna budi kumsamehe kama biblia inavyosisitiza kusamehana ila muonye asifanye ujinga kama huo
  12. I

    JamiiForums Tanzania Milio ya risasi yasikika usiku Bujumbura

    uchu wa madaraka sio mzuri akubali kuachia ngazi nchi irudi kuwa na amani kama hakujipanga akiwa madarakani aje tusaidiane kuangaika mtaan :lock1:
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Tanzania hakuna kiwanda cha pamba za masikio?!

    tujipange tufungue mana wanasema ukiona fursa itumie
  14. I

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Kamari ya Betting na kuporomoka kwa shillingi

    haichangii but kushusha thamani ya pesa yako(devaluation) inanguvu sana ktk ilo cha mcngi watu tujikite sana ktk kuzalisha na ku export zaid kuliko ku import walivyozalisha wenzetu kwa kufanya hivyo tutasaidia kukuza uchumi wa inchi
  15. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa biashara ya usafirishaji wa abiria kwa basi

    Ushirikina ktk biashara haukwepeki cha mcngi nunua ktk hp price, toa pesa ya kuanzia then lipa kwa instalment mkuu biashara ndo inavyokwenda kulipa cash kuna faida na hasara zake pia.
Back
Top Bottom