Habari zenu wanajamvi, awali ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa uhai....
Going straight to the point,. Hizi siku chache almost (22+days), baada ya kuwa na almost same routine nnapokaribia kulala nimegundua Jambo moja kwamba, kuna possibility kubwa tunapolala tunaingia kwenye ulimwengu wa wafu...