Tunakufa Kila tunapolala

Ian_

Member
Dec 1, 2019
7
6
Habari zenu wanajamvi, awali ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa uhai....


Going straight to the point,. Hizi siku chache almost (22+days), baada ya kuwa na almost same routine nnapokaribia kulala nimegundua Jambo moja kwamba, kuna possibility kubwa tunapolala tunaingia kwenye ulimwengu wa wafu wasioweza kujitambua.


#Proof:

Watu wengi waliowahi ota ndoto za kutisha wanadai walishindwa kujitetea, mara sauti ilikwama mara miguu ili freeze.

#Kwanini inakuwa ivyo.


Ni kwasababu, tunapolala tunaingia kwenye ulimwengu wa wafu lakini tukiwa (50<%<60) unconscious kwa ivyo vyote vnavyotokea tunaviona ila hatuwezi kupambana navyo. Ni kwakuwa sisi tunakuwa bado tunaweza ku"exist" kwenye sehemu mbili tofauti yaani mwilini na rohoni. Nakupelekea kushindwa kujisaidia kwa lolote ,hii inaletwa na Tensions of fear inayoongeza mapigo ya moyo,wataalamu wangesema "The energy has been converted to fast pulse ",. Baada ya nguvu nyng kupotea in form of heat and kinetic energy (jasho+joto),, siku inayofuata watu uamka wakiwa wamechoka 🤔


.
 

Attachments

  • IMG-20191201-WA0019.jpg
    IMG-20191201-WA0019.jpg
    50 KB · Views: 1
Ukiwa usingizini viungo vyako vinaendelea kufanya kazi, unakoroma, unavunja upepo n.k.

Kifo ni kitu tofauti kabisa, kila kitu kinazima ndio maana inabidi ukafukiwe futi sita chini maana viungo visivyo hai vinaharibika.
 
usiwe na hofu na kifo wala kujisumbua kutaduta uzoefu ili kujiaminisha ushagakufa mara kadhaa wewe subili siku ukifa basi
hakuna anaejua buana tusidanganyane
 
What is death? Kibiology ukinijibu na aina za vifo utapata jibu kua ulicho kizungumza Apo ni story za kijiwe Cha bodaboda
Biology inazungumza death in cellular level hivyo biology haitoshi kuueleza meaning of deadh.
May be quantum physics itagusa lakini bado.
Qurani imemaliza vizuri sana ..namuunga mkono mtoa mada kwa sababu katambaa mulemule
 
Not really kifo maana yake ubongo umeacha kufanya kazi.
Ila unapolala ubongo bado unaendelea kufanya kazi.

Na ndoto unazoota ni mchanganyiko wa experience ya maisha yako yote uliyopitia na vitu unavyofikiria ambapo unapata kumbukumbu ambazo baada ya kulala hujirudia na ukiona umeota ndoto ambayo ni strange kwako basi hiyo ni kumbukumbu ambayo ipo lakini huikumbuki.
Na kuhusu kuota na kudhani ni real sababu subconscious inakuwa imetake part maana yake wewe unakuwa unconscious hivyo kushindwa kung'amua kipi ni kipi ila
Hiyo itawezekana pale utakapoweza kufanya lucid dreaming yaani
Kuweza kuchanganya subconscious na conscious mind pamoja.
bytheway ubongo una siri nyingi ambazo bado hazijajulikana.

Nje ya hapo mimii nawashangaa walimu na watu wanaosema eti usiku soma sana usilale alafu asubuhi utakumbuka kitu ambacho ni uongo na wanafunzi wengi wanafeli sababu moja wapo ni hiyo.
Soma elewa kisha lala vya kutosha then ubongo wako utatengeneza mizizi ya ulichokisoma hivyo ulichokisoma kinakuwa sehemu ya wewe na hutokisahau kamwe bali utakikumbuka utakapo kitaka.
 
Back
Top Bottom