Recent content by IamJackReacher

  1. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania TISS na wasaidizi wengine wa Rais Samia, chukueni hili

    Samahani! Ila... Ikumbukwe na ifahamike kuwa viongozi wa awamu ya 4 na 'awamu' ya 6 wana msemo wao mmoja, "kelele za mlango haziwanyimi usingizi," something along those lines! Sasa nani katika hizo taasisi atajitokeza kufanya kazi zao kama kiongozi haoni tatizo la kumghasi!
  2. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    :oops: - naona lord fujin kamaindi sana hii venue sijui lord raiden naye atapita!
  3. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tanzania hupoteza shilingi bilioni 20 kwa kuagiza Tani milioni 10 za mchuzi wa zabibu kila mwaka | Sasa kiwanda kikubwa kujengwa.

    NB: Ukiona kuna sehemu ambapo taifa linaingia hasara kubwa na suluhisho lipo ambalo linaweza kupunguza gharama, ujue kuna "mtu" au "kikundi" kinachonufaika kwa namna moja au nyingine. Vile vile ukiona kuna ufumbuzi katika jambo ambalo limekuwa tatizo kwa taifa, maana yake ni kwamba njia mbadala...
  4. IamJackReacher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

    kwa upande wa mchumba: sasa akiwa miaka 18 na wewe 29! si utapoteza miaka 10 mingine kulinda, kuchunguza na kudata mkuu! tena wa Daslaam! na hapo mwisho wa siku kazi utakuwa hauna maana akili itahama kabisa! labda kama wewe sio strict sana! kwa upande wa mke: ongea na wazee vizuri. zile mbinu...
  5. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Technically, huwezi shindana na serikali, never

    Change is Inevitable!
  6. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Katika Ukristo, kitendo cha msamaha ni cha lazima, si hiari!

    ni kweli! ila hua watu wengi wanaamini wakiomba msamaha ndio yameisha na watu wataendelea ku entertain uwepo wao au mambo yao kama ilivyokuwa huko nyuma! unaweza kuniomba msamaha na nikakusamehe na safari yetu ikaishia hapo ama ukaribu wetu ndio ukaishia hapo! Heshima ipo pale pale!
  7. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania My photo album: A unique collection

    humbling! 👍
  8. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Chati yangu na ChatGPT: IamJackReacher atabasamu IamJackReacher: unaweza kusema nini kuhusu Sadam Hussein, Mohammed Ghaddafi na Vladimir Putin? ChatGPT: Saddam Hussein alikuwa dikteta wa zamani wa Iraqi ambaye alitawala kutoka 1979 hadi kupinduliwa na kutekwa na vikosi vilivyoongozwa na...
  9. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    My take: nimeona na kujifunza mengi katika maisha ila somo kuu ni kutokumuamini mwadamu yeyote anayekuzunguka, iwe ndugu, jamaa ama rafiki (0% - leave the 100% to grade/rate the disappointment)! Ishi kinafiki na kubali kuwa mjinga.
  10. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

    Huenda wanatetea vibarua na wanataka kuishi kwa amani maana walivyosakamwa baada ya Jiwe kupumzika, sio mchezo! Ila heshima ya kipekee kwa Bashungwa! Najua kajifunza mengi mazuri na kakemea mengi mabaya ila heshima ipo pale pale.
  11. IamJackReacher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ninayemfukuzia nimeshuhudia anatoka kuliwa

    Mjini mihangaiko!
  12. IamJackReacher

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga atema nyongo Bungeni

    nilijua hili bunge litakuwa la "yes... yes"! kumbe zimo!
Back
Top Bottom