Recent content by iamallymtambo

  1. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Gari la Polisi lenye maandishi "VUNJA UKUTA"

  2. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    bora damu imwagike tu
  3. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Kwa experience niliyoipata, sijaona haki ikitendeka especially kwa wapiga kura maana ni kama mtu anaye kuomba ushauri lakini anadharau ushauri wako. KI UKWELI KUTOKA MOYONI, SITALAUMU KAMA WAMAREKANI WANAINGILIA TANZANIA IWE KAMA KILICHOTOKEA IRAQ KWA SADAM HUSSEIN. I MISS U GEORG BUSH...
  4. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Wametomia Video editing software. Subiri baada ya uchaguzi utasikia taarifa zitakazotolewa kuhusu Mwamunyange
  5. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA yako sijaona jipya lililonikuna mwaka huu hupati kura yangu

    Baki na kura yako
  6. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania HELP: Labour Laws / Haki za ajira

    Habari wakuu, mimi ninafanya kazi katika kampuni xxx walinihakikishia kunipa mkataba lakini hadi leo sina mkataba imeshapita miezi zaidi ya mitano na sina jinsi ya kudai mshahara maana nalipwa hela ya msosi na nauli tu. Kuna njia yoyote ya kisheria kuniwezesha kupata haki yangu kama sina...
  7. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Naomba nisaidie kufungua: HUAWEI Mini Wifi E5221 IMEI: 867549010476248
  8. iamallymtambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waache kutumia haya maneno ya kike yanakera

    Mbona wewe umeyatumia....na wewe ni boya???
  9. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupunguza unene kwa wanaume na wanawake

    hahaha, nice one. watu wanahangaika bure hamna dawa ambayo unakunywa unakaa tu kisha unapungua unene
  10. iamallymtambo

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Bangi inaponya Kansa ya Ubongo

    Nimeshasikia inatibu pia TB, ndio maana kuna sehemu imehalalishwa kwa ajili ya medical usage
Back
Top Bottom