Hizo pesa ni msaada ambao umekuwa ukitusaidia sana kama taifa mimi binafsi kule kwetu Tunduma kuna barabara ya kutoka tunduma mpaka sumbawanga awamu zote tatu walishindwa kwa kiwango cha rami lakini kupitia mcc awamu ya nne imejengwa kiwango cha rami yote hiyo ni moja tu yako mwengi.Kwa hiyo ni...
Naona ile shehena ya mafuta iliyokamatwa baharini imeiamusha serikali usingizini.Mtuhumiwa alipohojiwa na wandishi wa habari ameyatowa wapi akajibu kwenye bomba.Kama hilo bomba limetowa mfuta five good years hasara yake ni kubwa mno kwa serikali.Nashauli serikali iajiri watu makini maeneo yote...
Usiku huu ktk taarifa ya habari ITV saa 2 wameonyesha eneo kubwa ambalo nyumba zimebomolewa kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za ujenzi.Eneo hilo ukiliona linavutia sasa basi ushauri wangu jengeni vikuta vidogo vya kudumu au mabango ingawaje mabango yanaweza fanywa screpa.Bora kuta za...
Ufafanuzi watumishi wa Mungu hawazuiliwi kuwa na miladi kadha wa kadha.Siyo dhambi mfano Ibrahim alikuwa na utajili mkubwa ukisoma biblia. Sadaka ni kitu kitakatifu kwa Mungu hawawezi tumia wakapona bila kibali cha Mungu.Hawo wote ulio wataja hapo juu wengine wakulima wakubwa kama tb Joshua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.