Wizara ya Ardhi ushauri kwenu

Wizara ya Ardhi ushauri kwenu

i genuine

Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
16
Reaction score
3
Usiku huu ktk taarifa ya habari ITV saa 2 wameonyesha eneo kubwa ambalo nyumba zimebomolewa kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za ujenzi.Eneo hilo ukiliona linavutia sasa basi ushauri wangu jengeni vikuta vidogo vya kudumu au mabango ingawaje mabango yanaweza fanywa screpa.Bora kuta za zege mithili ya zile ambazo huwa zinaonyesha mahari shule ilipo hasa hizi za serikali chenye maandishi ya katazo la kufanya chochote eneo hilo na mipaka yake ni ipi.
Hii itasaidia wananchi wasio na uelewa kuto rubuniwa na watendaji wasio waaminifu kwa miaka mingi.Inahuzunisha sana kuona watu wanavunjiwa nyumba wakiwa hawana kwa kwenda na familia zao.Mh.Lukuvi tafadhari zingatia hili.
 
Siwaonei huruma watu ambao walipata hayo maeneo kwa udaganyifu, watu wajifunze kufuata sheria, mna siku 14 za kuondoka kwa hiari. Hatuwezi kuhalalisha matumizi mabovu ya mipango miji.
 
Back
Top Bottom