Visimbusi vya Shilo-TV International vinauzwa

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
486
Ni Christian TV inayowika sana kwa Sasa hapa TZ kama Emmanuel-TV ya huko Naija.

Ukitaka kufungiwa full set King'amuzi/FTA, Accessories zote na Dish lake, tuwasiliane.

Utapata channel za dini zaidi ya 100 zikiwamo(nataja kwa Uchache)

Shillo-TV(Prophet Frank K)
Arise & Shine TV(Apostle Buldoza Mwamposa)
Prophetic Channel(Prophet Major1)
Emmanuel TV(Prophet T.B Joshua)
Mercy TV(Prophet Jeremiah Okefe)
Liberation
Loveworld(Pastor Chris O)
Champion TV(Joshua Iginla)
Dunamis
Chosen(Pastor Lazarus)
Hope
Jesus TV
KICC
Yadah TV

Etc

Bei Maelewano.
Just PM

View attachment 349178
View attachment 349179
 
Ni Christian TV inayowika sana kwa Sasa hapa TZ kama Emmanuel-TV ya huko Naija.

Ukitaka kufungiwa full set King'amuzi/FTA, Accessories zote na Dish lake, tuwasiliane.

Utapata channel za dini zaidi ya 100 zikiwamo(nataja kwa Uchache)

Shillo-TV(Prophet Frank K)
Prophetic Channel(Prophet Major1)
Emmanuel TV(Prophet T.B Joshua)
Mercy TV
Liberation
Loveworld(Pastor Chris O)
Champion TV(Joshua Iginla)
Dunamis
Chosen(Pastor Lazarus)
Hope
Jesus TV
KICC
Yadah TV

Etc

Bei Maelewano.
Just PM

View attachment 349178
View attachment 349179
 
Hivi huu si wizi huu hizo Chanel zote ni free to air alafu uje uwalipishe watu kama unataka watu wafuatilie neno la Mungu kwa nini usiwaelekeze tu kuwa wanunue dishi la futi kazaa na risiva za kawaida watazipata kupitia frequency Fulani alafu nyinyi shilo si watumishi wa Mungu nyinyi eti bei maelewano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom