Hii taarifa inanuka opotoshaji unawezaje kumiliki silaha ikiwa huna mali unazomiliki. Jamii inapikwa hapa ili ionekane jamaa ndio kazingua na kumtetea mwanamke ambaye ndiye chanzo, we are cooked.
Huo ni mtego kiroho kuna shimo unaenda kutumbukia so soon kama sio kesi ya ubakakaji basi pesa utapoteza kwa anasa au kuzaa na wanawake bila kuwa na mipango na watakutesa sana ...stuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.