Kabisaaaa tena wasituchoshe na mipasha yao ya kila siku. Sisi shida yetu point 3 na kurudi nyumbani yaani UEFA Champion League tumepamisi sana......msimu mmoja bila kucheza UEFA ni sawa sawa na Miaka kumi kwa Chelsea kutocheza UEFA
Kijana Hazard ulipotea wapi ndugu yangu? Tangu uende Real Madrid umestafu na kustafu ee. Karibu tena jukwaani. Chelsea sasa ni ya moto. Jana nilikuwa na ofu juu ya gemu yetu ila nilichokishuhudia uwanjani inanipa matumaini makubwa kabisa. Vijana wamechangamka kuna kitu wanataka msimu huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.