Recent content by Hushan

  1. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nilishaachana name
  2. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Jamani tuwe tunasoma post ni ya lini na wenzako wamemaliza vip maana tunakumbushana machungu tu wakati tulishayamaliza kwa kupata ushauri humuhumu JF
  3. Hushan

    JamiiForums Tanzania I want to become the girl you always dreamed of

    noma
  4. Hushan

    JamiiForums Tanzania I want to become the girl you always dreamed of

    Hii noms sasa
  5. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    nishamuacha situ ya pili kwa ushauri mzuri tu wa wana JF
  6. Hushan

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananilazimisha nizae naye

    kwani jamaa hana watoto huko kwa mke wake? kama hana mzawadie na kama hutaki kumzalia basi kila mtu achukue time yake isiwe unataka akutunze ila wewe kumzalia hutaki hiyo mbaya itafika muda mtadhuriana.
  7. Hushan

    JamiiForums Tanzania Chizi noma

    duh
  8. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu kaniacha baada ya kusoma Post zangu JF

    Huyo dem nae hana kwao heeee?
  9. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    KAKA NIMEMUACHA RASMI JANA USIKU SITAKI TENA AENDE HUKO NA MM NIRUDI HOME
  10. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nashukuru sana wana JF kwa mawazo na maoni mazuri kwa kweli nilizoea kuwa na dem, mchepuko pembeni nikiacha huyu basi nitatafuta mwengine ilimradi tu niwe nae mchepuko ila kwa hili nimeachana nae huyu dem na sitaki tena kuwa na dem nabaki na mke wangu. Napenda kutoa shukran kubwa kwa post ya...
  11. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    Nipo makini kwa hilo ndo maana naogopa
  12. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    NIKIPATA ELIMU YA KUTOSHA BORA NIWE NA MKE KULIKO HII MICHEPUKO HADI UNASHINDWA KUSWALI
  13. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    HII NDO ELIMU TUNATAKIWA TUPEANE ENHEE NAMBIE MKUU
  14. Hushan

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ananisaliti kimtindo

    mwenzio anapoleta tatizo umsaidie sidhan kama ni solution kumtukana ni bora kukaa kimya umcheke moyoni na upite sio lazma kuchangia kama huna ushauri,
Back
Top Bottom