Chizi noma

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,425
Zuzu mmoja aliamua kuvamia msitu wa serikali ambao upo kwenye mlima kavuna miti yote kisha kanza kuchana mbao wakati anachana mbao kumbe polisi wameshapewa taarifa walipomkuta wakaanza kumhoji:
Polisi:Kwanini umefanya uharibifu huu kwa kuharibu mali ya srikali?
Jamaa: Huu siyo uharibifu
Polisi:Ila ni nini?
Jamaa:Natimiza maandiko
Polisi:Maandiko gani?
Jamaa:Nenda kasome Hagai 1:8
Polisi:Hebu nifafanulie mie naona unanipotezea muda
Jamaa: Imeandikwa hivi "Nendeni kwenye miti ya milima mlete mbao na mjenge nyumba"
wakati mwingine siyo vizuri kuchanganya SHISHA na tangawizi ya sumbawanga
 
duh
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom