Recent content by Hunky

  1. H

    Nafasi za JKT

    yah inawezekan sabab wale wa mwak jana na wachache wa mwak juz hawaajiriwa kwa hiyo hawawez kujaza watu bila sababu.. kinachosubiriwa muda ufike warudishwe hom na watakaobahatik bas waajiriwe.. ila ukiangalia huu mwaka ni mgumu sana kwa sababu,UHAMIAJI NAFASI ZOTE WAMECHUKUA URAIANI,POLISI NAO...
  2. H

    Kufanya kazi nyingine bila kuacha Serikalini

    Serikalin kaz haiyachwi wew ....utajut bro...hay mabank mda wowot unapigw chin..omba likiz hisiy na malip
  3. H

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

    Pole jombaa endelea kuomba mungu.....ila kam unauwez nenda chuo cha bandar.au veta usom koz zenye practical utapat kaz harak kulik kung'ang'an na hiy digrii ya according....
  4. H

    Kwanini hivi lakini?

    polen sana ndugu zang....ILA NASHAUR WADOGO ZENU MUWAONGOZE VYEMA WASIKOSEE KAMA NYINYI....DIGRII YA TZ NI TAKATAKA TU BRO COZ ZOTE ZIMEKAA KAIMAGUMASH NA NDIO MAANA WENYEW SERIKAL HUTIBIW NJE...MAINJINIA HUCHUKUA NJE....WADOG ZENU MSIWASHAUR KUKIMBILIA KOZ ZA DIGRII HIZO ILA WASOM COZ ZENYE...
  5. H

    Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    Mtot wa kijij ni balaa ndo maan jesh la polis linakos maadili....mtu kasom kadigri kake na tz mtu akipat digri ye ndo anajifanya anajua yote unadhan kuna nin hapo
  6. H

    Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    MSOMI NA BUNDUKI WAP NA WAP....KAM C KUINGIZA MATATIZ TU KTK POLIC....MTU ASHASUGUA 3yearz ANATAFUTA DIGREE ALAF UNAMWAMBIA AKALINDE BANK... DIGRI ZA BONGO BAN....SOMEN COZ ZENYE DIRECT PRACTICAL SKILLZ HUWEZ HAKANGAIK AJIRA ATA SIKU.MOJA...TATIZ MNAKIMBILIA DIGRII WAKAT COZ ZA DIGRII ZOTE BONG...
  7. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wa kusin LINDI ndo hampo mbona kimya tuwasiliane aliye mkuranga..ikwiriri ..dar es salaam ana anataka kurudi lindi namba ni 0756502249 ..1998suley@gmail.com
  8. H

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya secondary kusini ...anayehitaj kam yuko mkuranga ..rufij...ikwiriri na dar es salaam tuwasiliane kwa namba 0756502249
  9. H

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    wadau izo kamat za nini tena...wikend tuna ruhusiwa depo tunaingia town...ful shangwe...
  10. H

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    bro kuna errar tu ila watu hawafiki elfu kumi..pia usidhan kam ktk jesh kuna kua na ugum wa kupat watu..kwanz hawatafik wot walioitw..pil vipimo vitakwamish watu ukizngatia umaskin hulet afya mbov na hat weny ela ulish watot wao vyakula vya kizemb..tatu mavaz yatawanyim watu nafas.. We nenda iyo...
  11. H

    Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    sory katk hao watahiniwa wanatakiwa wangapi ili waajiliwe? ...waan iyo idadi itakua imezid idadi ya wafanyakaz wa wizar husika
  12. H

    Hatimae uhamiaji yametimia

    mjomba husipotoshe..uvungu ni muhim tena sana..kule huvai sendo ujue...na ukipitishw kwa kubebw na uvung huna shuhur yake utaiyon hakuna atakaejal kua unaumw miguu maan wanaamin ulipimwa vyote
  13. H

    Hatimae uhamiaji yametimia

    makovu hayatakiw utajisababishia matatiz ...kaka usilete masiala na depo bro..kule waalim wanasain kuw wamepokea watu wazim kiafya na wanakidhi vigez so ukifa mazoezin wao hawausik na hawan hurum. Kam una makov tafut job ingine kaka nchi inalingwa kwa jesh imara
  14. H

    Hatimae uhamiaji yametimia

    ukitaka kujua una uvungu wa mguu mwaga maj katik tope kanyag alaf toa mguu..ukionekan wote huna uvungu na kam ukioneka nusu yaan sehem ya kat kwa ndan isipoonekan inamaan una uvung.. Ukikosa uvungu huwezi kupita ingawa wapo wanaofany udanganyif ila ni hatar sana maana unawez kuoza miguu na...
  15. H

    Hatimae uhamiaji yametimia

    kaka cjapit JKT ila utaratib wa majesh unaelewek kwan hat izo nafas zimeanz kutangazw JKT znazobak ndo wanalet uraian..wa JKT ana 75% ya kupata nafas. Pia huy wa jkt anafany nin mtaan kwanz!
Back
Top Bottom