Bei: 5 mil, bila motor. Mazungumzo yapo
Uzalishaji: Kilo 700 - 1,000 kwa siku
Sifa ya mkaa wake: Unaungua/kuwaka kwa masaa 4+
Ni mashine ya chuma kigumu cha pua. Ina gia box pia.
Bei elekezi ya mkaa mbadala: 400 - 500 kwa kilo.
Matumizi ya umeme: Tsh 5,000 - 7,000 kwa siku
Sababu ya kuuza...
Kwa shimo la majitaka futi 9 linatosha urefu. Kama ni shimo la awali (septic) tafuta pump ya kuyatoa maji wakati unamwaga zege. Ili zege ishike mapema changanya na kemikali ya kugandisha zege kwa muda mfupi. Inapatikana madukani kama nabaki. Kama ni shimo la la mwisho (soak away) usiendelee...
Hapana John. Chlorine sio nzuri kwenye mazingira. Vetiver pekee ina uwezo wa kusafisha maji na kisha kuyaacha yaingie kweny mazingira au chemchem za maji.
Chlorine utaihitaji endapo unataka kusafisha maji ili uyatumie tena kwa matumizi kama kusafishia magari, kusafisha floo, kunywa, nk. Sishauri...
Fungua tovuti hii www.xpengineering.co.tz
Kipengele cha gallery utaona kuna picha ina mimea ya Vetiver. Hiyo kazi niliifanya mwaka jana. Mtambo una miezi 7 na umeonesha ufanisi kwa asilimia 75
Sent from my SM-J600F using Tapatalk
Asilimia zaidi ya 90 ya majitaka ni maji. Taka ngumu (solids) huwa chini ya asilimia 10. Ili kuchakatua maji taka kuwa masafi kwanza shimo la maji taka (septic tank) linagawanywa kwenye sehemu tatu hadi sita kulingana na aina na wingi wa taka ngumu zinazoingia. Kazi kubwa ya shimo la maji taki...
Vetiver ni majani yanayoweza kusafisha majitaka kuwa masafi kisha kutiririsha kwenye mitaro. Maji huwa yasiyo na harufu mbaya na yanafikia viwango vya mazingira. Watu huangaika kuita magari ya majitaka kunyonya mashimo ya vyoo/majitaka na kulipia pesa mingi. Ila wangejua gharama ya kunyonya trip...
PayPal haijaruhusu mtanzania yeyote kupokea pesa. Hii inamaanisha hatuwezi kuuza chochote kupitia mitandao maarufu kama eBay, hatuwezi kufanya kazi za mitandaoni (yaani freelancing) na kujipatia kipato, n.k.
Hivyo basi tumeamua kuishawishi PayPal (kupitia change.org) kuruhusu kila mtanzania...
Nakubaliana na Richard. Ningependa kuchimba kidogo. Unaweza kwenda nchi yeyote iwapo tu una ujuzi wanaouhitaji. Ningekuwa wewe ningegoogle "what coutries are short of IT stuff/skills" na kuendelea hapo. Kwa sasa nchi zinazohitaji watu kwa sana ni Australia na Canada; hawa wameweka ''express...
Kuna company inaitwa ViralAngels kwa kutumia monthly subcription unapata uwezo wa kuwa broker pamoja na gawio la hisa. ViralAngels ni club ya brokers ambao wanaingia makubaliano na makampuni mbalimbali duniani yakiwemo TrigMedia group, E sport challenge, nk ambapo mnanunua shares au kugawiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.