Recent content by Hunk Man

  1. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Vibali vinazidi vinamwagika TAMISEMI
  2. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Daaah pole sana yaan unapigwa kavu kavu unaona kabisa
  3. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Score ya PEPMIS ya previous year tena duuuh hapo ni mwendo wa rejected
  4. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwani uhamisho wa kwenye mfumo si unajigharamia au unalipwa stahiki zako? Au ndio ule waraka ambao unasema ukikaa kituo cha kazi zaidi ya miaka mitano unalipwa kisheria
  5. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    9o Kumbe kuna group hebu naomba link ya group nijiunge
  6. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sio mbaya inatupa matumaini kwa wengine kwa kuamini wanafanyia kazi maombi yetu, Vipi maombi yako yalifika UTUMISHI tarehe ngapi?
  7. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Watumishi mmekata tamaa na ESS mko kimya
  8. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    EWURA TCRA PURA chagua kwa mtiririko huu
  9. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kuna mdau ameniambia vibali vitatoka kabla mwezi haujaisha
  10. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwenye vacancy request kwa destinantion institution inakuwa accept automatically ikipita siku 10 lakini kimbembe kwenye taasisi unayohama inakuwa ngumu kuaccept automatically hata zikipita hizo siku mpaka uongee nao wakupitishie bila ya hivyo itakaa sana
  11. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sawa inaweza kufika kule UTUMiSHI ikawa rejected nako hapo ni kuomba sana Mungu
  12. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Tafuta taasisi za kawaida zile taasisi zenye asali nono nafasi hakuna
  13. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Iwapo ikitokea taasisi inaomba watumishi wawili je kuna uwezekano maombi yakafika zaidi ya wawili utumishi au zikifika maombi mawili kwenye hiyo taasisi mfumo inakataa au?
  14. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Usikute wanafunga dirisha au deadkine imefika kwa walae ambao hawajaomba wajaribu tena nafasi ikitoka tena
  15. Hunk Man

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Vibali vikitoka mtupe ushuhuda na wengine
Back
Top Bottom