Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,508
Reaction score
4,362
Kuna maza tunasali nae hapo pentecostal church anafanya kazi nbaa,so jana baada ya misa nikapata muda wa kusalimiana nae na kumdodosa mawili matatu kuhusu maendeleo ya zoezi la kusahihisha.amesema zoezi limeanza tayari na kuna vituo kadhaa vya kusahihishia,kituo alichoko yeye hapa dar ni majanga,akanitania akaniambia mnasema mtihani ulivuja mbona number za viatu ni nyingi kiasi hicho?
Kwa hiyo tujiandae kisaikolojia wakuu.
 
Back
Top Bottom