Recent content by humility21

  1. H

    Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Kweli ni kama vile huwa anaonesha kwamba nae ameolewa, akili za baadhi wanawake sometimes wanazijua wenyewe.
  2. H

    Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

    Ila wanawake wengi ndoa ndio malengo yao makubwa, sasa akifikisha 30 bila ndoa Anamosa furaha hata awe ana miliki nini. Pia changamoto nyingine kwao population ya wanaume sio kubwa kama yao.
  3. H

    Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Noma sana. Ila Rest amezidisha show-off kwenye mitandao ambayao ni hatari kwa kweli.
  4. H

    Kuwa na namba ya simu iliyozoeleka ni mtihani kwa maisha haya

    Nadhani ni kwasababu ya hisia, wanawake wanaongozwa zaidi na hisia.
  5. H

    Kuwa na namba ya simu iliyozoeleka ni mtihani kwa maisha haya

    Mkuu hiyo ni kawaida ya wanawake, hawapotezi namba.
  6. H

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    RPC wa Geita anaoneka mstaarabu sana na mtulivu akizungumza kwenye TV, system inaweza ikampromote au huyo Mama Kaganda kama wengi wanavyosema au achukuliwe mtu wa jwtz kwasababu jwtz hawana ubabaishaji.
  7. H

    Hivi mwanamke kuficha makucha kwenye mahusiano kabla ya ndoa inaweza ikawa mwisho miaka mingapi?

    Hiyo miezi ni michache sana. Haifai kuharakisha kama uko mwangalifu na future yako. Marehemu mchungaji Mitimingi Kwenye moja ya clip zake alisema "mwanamke na mwanaume wanapoingia Kwenye ndoa, ni mwanaume ndio ana nafasi kubwa ya kufanikiwa au kuharibikiwa ktk maisha".
  8. H

    Watumishi matumbo joto, boss mpya Polisi yule...

    Katika marpc wote wa sasa, rpc ninayemuona ana busara ni rpc wa Geita, Henry Mwaibambe. Hata akizungumza anakuwa na utulivu. Ila kama vipi bora igp mpya achukuliwe kutoka jwtz.
  9. H

    Kwanini bond ya mama na mtoto wa kiume ni kali sana tofauti na kwa baba?

    Inasemekana pia kina mama wanawapenda zaidi watoto wao wa kiume kuliko wa kike ingawa nadhani kwenye kuzaa ni kama vile wanapenda wajifungue watoto wa kike
  10. H

    Yuko wapi RPC nguli Ramadhani Kingai?

    Ukimsikia akiongea ana lafudhi kama ya kichaga.
Back
Top Bottom