Recent content by humiebird

  1. humiebird

    JamiiForums Tanzania Ila nyie watu wa Dar es Salaam ni wachoyo sana kwenye chakula

    Hahahah Tena akila ni mlo Moja akijitahidi Sanaa miwili.
  2. humiebird

    JamiiForums Tanzania Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

    Yeeeh jamn ex ni Ex tuu. Hakuna sababu yakupasha makabichii . People change,grow, n move On. Hao Ex zako Kuna mahali wamekwama kifikira, kihisia na kimtazamo pia.
  3. humiebird

    JamiiForums Tanzania Shingi 200 leo kidogo inivue utu

    [emoji23][emoji23][emoji23] hakika maisha yanakaba mnoo!!
  4. humiebird

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Kumsaidia mtu in the name of rafiki. Kwhyo watu wawe makini na hao marafki zao . Kwa Sasa ninawatu ninao wajua tuu.[emoji1][emoji1][emoji1]
  5. humiebird

    JamiiForums Tanzania Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Hahaha etieh kwakukimbia !! Ujue iyoo ndio inaleta watu kugongewa zebra.
  6. humiebird

    JamiiForums Tanzania Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Hapo haijabadilishwa watu wanagongwa kwa zebra!! Na ikibadilishwa itakuwq je?
  7. humiebird

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilikutana na mwanamke siku moja baada ya siku zake ya hatari. Hali hii imetokea

    P2 sio uzazi wa mpango Ni emergency levonorgestrel.... Kwahiyo usifikiri inasaidia nyakati zotee....na Kama mtumiaji ameitumia kwa muda mrefu sana..mwili ..unazoea..so hufanya kazi kwa. ..tabu. Na sio watu wote humeza na ikamsaidia..maana nimeona kwa watu kadhaa walimeza within 72hrs na wakawa...
  8. humiebird

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilikutana na mwanamke siku moja baada ya siku zake ya hatari. Hali hii imetokea

    Ni sawa Kama ni mjamzito....maana p2haizui mimba nyakati zote ...mkuu..jipange kulea
  9. humiebird

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Hahhaha nadhani mwanaume bila kuhonga hajakamilika...[emoji3][emoji3] Utakamata je kuku pasipo kumrushia mahindi!?[emoji849] Mchele kidogo..nk Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  10. humiebird

    JamiiForums Tanzania TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

    Rest in peace mama mtei....polee kwa familia , ndugu,jamaa na marafiki..Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake LIHIMIDIWE
  11. humiebird

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

    Wanaume wengi hawapendi kuambiwa kweli... Kisa yeye Ni kichwaa...[emoji849] Kwa stahii majibu ya hovyo yatakuwa mengi tuu
  12. humiebird

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kummaliza mmeo, kuwa malaya

    Haha
  13. humiebird

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kummaliza mmeo, kuwa malaya

    Usikariri maisha sambusa si ya nyama tuu hata ya mbogamboga ipo
  14. humiebird

    JamiiForums Tanzania Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

    Pain change people
  15. humiebird

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni lazima Masogange afe?

    Hahaha ni mashetani
Back
Top Bottom