Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

Ila ni changamoto kwa mwezi mpya daily kuleta mambo ya past pia lawama kwa mom mpya, in short hii situations huwa ni ngumu na complicated imagine mpenzi wako thinking about watoto, he doesn't care relations yeye hyo watoto, that's why its better single parents wawe wapenzi hii inakuwa rahisi maana Wana share common interests na wamekuwa wazoefu so kila mtu atakuwa na care na watoto wote, maana ngoma droo shida sasa wengi hupenda kuoa/ kuolewa na wasio na watoto wakati wao wanayo tayari.

So hizi mambo naona ngumu
Yesu anakuangalia halafu anasikitika au labda atakuwa yesu mwengine.
View attachment 1899235
I’m
Yesu anakuangalia halafu anasikitika au labda atakuwa yesu mwengine.
View attachment 1899235
kimeumana
 
Wanaume wengi hawapendi kuambiwa kweli... Kisa yeye Ni kichwaa... Kwa stahii majibu ya hovyo yatakuwa mengi tuu
 
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Akili za stress hizi
 
Ila watoto wanaolelewa na single mother wa kike nawo huwa single mother.
Watoto hufuata mfano wa wazazi wao. Hata mabinti ambao mama zao walikuwa ni wajane hujikuta wanatamani kuishi kama mama zao bila mume sababu ikiwa kwanza hawakuwahi ishi na baba yao sababu alifariki mapema sana so wamekua wakimuona mama ana play role za ubaba na umama as a single female parent.

Pili hawa mabinti wa wamama wajane huwa wanaona shida kuishi mbali na mama zao sababu ya huruma kumuacha mama ambaye amewalea pekee yao tokea utoto na wamuache ndio wanaona uzito kuanzisha familia ila hata hivyo watoto wa mama wajane huwa wanaelewa kuwa baba hakumkimbia mama au waliachana bali kifo kiliwatenganisha so mama akikaa na binti yake vema anaweza muelekeza mazuri ya ndoa na kumuandaa aingie kwenye ndoa na kujenga mji wake.



MUNGU huwa anabariki uzao wa ndoa , so hata mwanamke mume wake anapofariki bado ulinzi wa ki' MUNGU katika maisha ya watoto unakuwapo. Na ndio maana unaweza kuta kuna wajane wamesomesha watoto wenyewe tokea wakiwa wadogo baada ya wanaume wao kufariki ndoa ikiwa changa kabisa na yenye upendo. Hawa ni wajane na MUNGU huwalinda wajane dhidi ya madhira ya yule muovu na changamoto zake.

Ila swala linapokuja katika case ya hawa single mothers wanaoamua kupata watoto na kuishi binafsi bila mwanaume ni issue ya choice zao wenyewe na ndio maana huwa mwisho wao huwa ni maumivu na sio mzuri.

Hawa si wajane ingawa huwa wanajinasibu kuwa wao na wajane ni sawa sawa ila si kweli. Most of modern women wenye watoto nje ya ndoa ni matokeo ya mienendo yao ya usichana. Ukimuona mtu mlalamishi sana na analaumu sana jua ana hatia kubwa na huo ulalamishi ni sehemu ya kuonyesha ana hatia ila anaficha kwa kelele za lawama.

Sio mpango wa MUNGU mwanamke azae na kulea watoto wake kama anafuga kuku wa broiler. Watoto ni mali ya jamii so huwezi kuieletea jamii viumbe ambavyo umevilea kwa akili zako wewe tu binafsi bila misingi.

Na jambo la mwisho ni kwamba, mabinti naomba niwakumbushe tu kuwa baya lolote au uzembe wowote unaofanya leo katika maisha yako, mfano ,kudanga,kulala na multiple partners,kuliwa tigo, kunywa pombe na kuvuta bange,jeuri,kiburi,dharau, upuuzaji, tamaa ,haya yote ndani ya akili yako wakati ukiyafanya jua unajua na usiseme shetani alikutuma au ulishawishika ni WEWE umechagua tabia,mwenendo na matendo yako.

Unapofikia muda wa kulipa hesabu ya hayo matendo usione unaonewa au kulengwa,hayo ni matokeo yako wewe mwenyewe. Sisi kazi yetu ni kukutumia wewe kama mfano so ukinuna unune sababu ya kukosa kwako hekima ukidhani unashambuliwa kumbe si jambo personal.

Accountability (kuwajibika) ni jambo muhimu sana ila nasikitika wanawake huwa hamliwezi na inaishia kuwagharimu maisha yenu yote.

Kuna msemo niliutunga na nitausema hapa tena kuwa, Wanawake /mabinti , inapokuja swala la mahusiano na kuandaa familia yako Bora, MUNGU amawapa peni ya wino na karatasi chache sana kuandika story za maisha yenu so muwe makini sana mnavyotumia hivyo vitu. Sababu ukikosea kufutafuta na kuka kata huleta uchafu wa kazi yako na haita eleweka, pia inapunguza karatasi za kuandika.

Wanaume tumepewa penseli vifutio na vichongeo pamoja na booklet za makaratasi ya kuandika. Tunaweza andika bila kifuta tukikosea tukaanza upya karatasi ni nyingi sana,au tukaamua kufuta na hata penseli ikilika tunachonga upya na kuanza tena au kuendelea.

Sio upendeleo bali ni KANUNI YA MAISHA hatukujipangia iwe hivyo.
 
Na shetan hutumia mwanya huo huo wa kutokuijui sheria ya Mungu kutupumbaza tujione tupo sahihi
Huwa nacheka sana kumuona binti maisha yake ya mtaani ni full kujiachia na kuwapanga washkaji halafu kila jumapili anakwenda kuomba baraka za mwenyezi MUNGU amfungulie njia apate mahusiano serious.

Sasa why huwa watoto wa kike wanakuwa so gameishly Playful na toying around serious men?!
 
Ukishaona mtu anajiita nimeokoka mkatae maana hata yesu mwenyewe alipoambiwa yu mwema alikataa akasema alie mwema na mwenye haki ni mmoja tu naye ni Mungu
Kuokoka ni kujifariji tu sababu mziki wa stress huwa si wa kitoto kuuhimili.

Ila yote kwa yote balaa ni umri ukienda miaka kuanzia 35 kwenda juuu. Aiseee that's HELL . Na kwa maisha ya bongo haya sijui hali itakuwaje huko mbeleni.
 
Wanaume wengi hawapendi kuambiwa kweli... Kisa yeye Ni kichwaa... Kwa stahii majibu ya hovyo yatakuwa mengi tuu
Ukweli hauna uhusiano na tone ya sauti unayotumia.

Hii kitu mnafunzwa kila siku. Unapoongea na mwanaume wako haijalishi una hasira au umefura just watch your tone na chagua maneno sahihi. Ongea na mwanaume wako kama vile mwanafunzi aliyefeli na kupata SAP anavyoongea na mwalimu wake kubembeleza achiwe.
 
Yes! Japo mimi mwanaume ila wanyoosheni ili wakae kwenye reli!
Hamna mwanaume hapa. Mwanamke akitumia account kwa jina la kiume ni rahisi sana kumjua kuliko unavyodhania.

Sasa hii unafanya hapa ni utoto kujifurahisha ila sisi tunajadili issue very sensitive ya kijamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom