Recent content by Humbleness

  1. H

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Aisee RESILIENT KATO
  2. H

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutodumu na wafanyakazi inatishia kunifilisi

    Vipi ukimpa Mkataba akakaa, baada ya muda fulani tuseme mwaka... Akaamua kuondoka tuseme bila kukuaga? Unambanaje hapo? Huo Mkataba wa kumbana unamlazimisha yeye kuweka kitu/kipengele kinachombana asiondoka bila taarifa?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

    Reforms zitafanyika, uchaguzi utakuwepo. Uchaguzi utasogezwa mbele au utafanyika October kama kawaida?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    Hii ni hakika mkuu?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Lo mambo mazito haya
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Eeee 😳
  7. H

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Kama la Mpina kuunga moon limitimia hivi
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hasira zako zinakuendesha au unaziendesha?

    Malizia mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Shukrani sana ndugu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari za muda wakuu! Hivi ukiwa umesajili kampuni... mfano ya Mambo ya Mambo ya nafaka, ukawa umeweka DSM kama makao makuu. Sasa baadae katika kuanza kazi... Ukatamani uifanyie sehemu nyingine tuseme Mbeya. Je, natakiwa kufanyaje ili nisivunje sheria za nchi? Leseni nachukua ya BRELA au...
Back
Top Bottom