Recent content by Humble African

 1. Humble African

  Demiss amepotelea wapi?

  Ngoja nijaribu kuona what's wrong na PM yangu. Ila nna raha saana kukuona hapa. Nikija Mwanza January. Lazma tutoke out fo party rafiki yangu wa dhati [emoji322][emoji16]
 2. Humble African

  Demiss amepotelea wapi?

  Wow! It's been a long time saana tangu tupotezane guys. Sijapata PM yako Dina, But nimeifurahi kukuona tena hapa. Nna mengi ya kushare na wewe. Ngoja nikarefresh PM yangu tena.
 3. Humble African

  Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

  Shukrani Sana Mkuu! Nimeifurahi Sana kusikia kutoka kwako. Nakufahamu vyema na umekuwa sehemu ya watu muhimu ya familia yangu toka Jamii forum. Hivyo naamini tutakuwa na wakati mzuri tena.
 4. Humble African

  Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

  Mimi nadhani ndio nimepotea... Naamini mlikuwepo bado mnaendesha kubadilishana elimu hapa JF. Nimewakumbuka saana.
 5. Humble African

  Mention someone without any reason. Just to disturb them

  I'm good my Makiseo. Bila shaka kwa Sasa tumekutana.. Kama utakuwa Dar tunaweza kuonana live hata siku moja just to grab a cup of coffee mezani tubadilishane mawazo, uzoefu tupeane dili na connections za maisha. Hugs.
 6. Humble African

  Mention someone without any reason. Just to disturb them

  I love you and you know that Dina. Leo ni siku ya kupendana. Nakupenda. [emoji257]
 7. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  Wiki hii nimefungua Hadi account na kuweka kambi kule Twitter kwa ajili ya Ontario ila naona kadhitiwa mapeema sana na wenyeji wa Twitter kabla hajaleta madhara makubwa kwa wanajamii. Kama Forex Ina mega profit si afanye mwenyewe au awasanue ndugu zake kijijini shirati waje watengeneze pesa Dar...
 8. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  Miss u more swry lady. Kila ninapokuona nahisi ni siku ya kupendana tu Kama ndugu. Nakupenda.
 9. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  Juzi CCCNP Engineer alinisalimu Twitter... Nilicheeeka saaana. [emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hivi Ni washkaji tu.
 10. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  Mkuu! Shukrani Sana. Nimewakumbuka saana familia yangu ya mtandaoni.
 11. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  Situeleweshane tu mkuu....Sidhani Kama Kuna haja ya kutukanana. Nimekusamehe lakini. Asante lakini. Ubarikiwe mkuu.
 12. Humble African

  Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

  It's almost impossible kuhack account yenye 2FA authentication. Account ya Ontario ya Twitter iko enabled na hiyo encryption. Its Uncrackable.
Top Bottom