Nahisi TCU wanadeal na vyuo vinavyotoa degree au kuna kinachotoa degree kati ya hivyo ulivyotaja? Maana NACTE ndio najua wanadeal na hivyo vyuo vinavyotoa diploma na certificate
Hizo ni contact lenses, zipo zinazovaliwa kwa ajili ya urembo na nyingine kwa ajili ya kumsaidia mtu mwenye matatizo ya macho aone vizuri
Sio wote wanavaa kwa ajili ya urembo, tusije tukadharauliana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.