TCU acheni ubaguzi - IAA Mwanza ni gereji

TCU acheni ubaguzi - IAA Mwanza ni gereji

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,022
Wakuu, binafsi naungana na maboresho ya TCU hasa hatua ya kuvifungia vyuo 19 nchini na kuvifutia vyuo vikuu takribani kozi 75 nchini...

Napenda TCU iende mbali zaidi na kuhakiki taaluma za wakufunzi vyuoni...

Undergraduate GPA ya 3.8+ na Masterz GPA ya 4.0+

Lengo la uzi huu ni kuongelea uonevu wa TCU dhidi ya vyuo vya Binafsi (private) na vya madhebu/dini mbali mbali nchini.

Haribia vyuo vyote 19 ni vya private na vya madhehebu mbalimbali...

Mm binafsi natoa ushuhuda wa vyuo vya Serikali Jijini Mwanza.

1. Ushirika Moshi kipo karibu na ofisi za jiji Mwanza....au nyuma ya shule ya Nyakahoja.
Majengo yake, ofisi za kampuni ya ulinzi ni mazuri...Nursury school iko poa ukilinganisha na majengo ya chuo kikuu hiki...hakuna maktaba wala nn!!

2. IFM -Mwanza. Hii ipo opposite na geti la Sekoture Hospital (Hosp ya mkoa). Ina ki maktaba kidogo utadhani ni ya Primary. Tu vyumba hatuna hata hewa...
Hakuna mazingira mazuri ya wanachuo kujisomea...
Walimu wamebanana ofisini...kama vicheche ndani ya vichuguu... hewa hakuna...
Walimu hakuna!!

3. CBE mwanza. Hawa wako mjini kati...karibu na NSSF Tower au Airtel Head office. Hakuna pahala pa kujisomea wanachuo. Hapo hapo ni parking ya madereva Taxi...watoto wetu huuzwa hapo... hawana Maktaba... wala ukumbi wowote.
Hujisomea Cafeteria ya Konsolele ndani ya mgahawa...
Ofisi za walimu hakuna...

Ni upuuzi mtupu!! Eti wana Bachelor 3!!

4. IAA Mwanza. Wapo stendi ya Buzuruga. Opposite ni TIA. Hawa wapo ndani ya majengo yaliyo kuwa magodown na gereji za wahindi..... Hewa hakuna....study environment hakuna. Walimu hawana. Wanatumia part time wa SAUT kuwalipa pia hawalipi!!
TCU acheni ubaguzi wa kipuuzi!!

5. Mzumbe mwanza. Wapo ghorofa moja nyuma ya Halmashauri ya jiji la mwanza. Hawa nao ni jipu. Hawana walimu wala maktaba.

6. TIA Buzuruga. Opposite na IAA. Hawa nao wamekodi kigorofa cha mhindi/msukuma hakuna makta wala conducive study environment!! Walimu hakuna....

NK...
Kwanini mruhusu huu utitiri wa vyuo vya Gvt jijini Mwanza? Tena visivyo na hadhi? Kwann msiwe na chuo kikuu kimoja tu? Na vingine vikabakia Head Office..Arusha, Morogoro, Dar, nk.
Kumbuka Kanda ya Ziwa kuna chuo kikuu kipya na kikubwa kina kuja soon cha MWL JULIUS NYERERE, cha Butiama Musoma.

Hakuna chuo chochote kati ya hivyo vimejenga majengo yao. Vyote vimepanga!! Vyote hata Public toilet ni issue!! Hakuna walimu. Hawana maeneo ya kutosha hata ya wanachuo kupumzika tu!! Hivi ni chuo gani kati ya hivyo waweza compare na KCMC?

Huu ubaguzi ktk Elimu kwa lengo la kuikomoa sekta binafsi si mzr kabisaa....
Biashara sekta binafsi ipo hoi!! Sasa mme hamia vyuo vikuu!!
Hadi sasa vyuo vingi vya Private vina hali mbaya sn Financially!! Hata kulipa mishahara tu ni issue!! Kuwa support kwa kuwaombea ruzuku serikalini hamuoni!!

Hivi Graduates wa vyuo hivi ni kwa faida ya Tz au kwa faida ya SAUT au KCMC au St. Marian?

Hivyo vya Government mnavilipia mishahara kwa staffs wote, majengo mnawajengea, ruzuku mnawapa, Ada wanatoza ni kubwa kuliko hata ya SAUT, afu bado mna wanyanyasa Private sector ambao hujigharamia kwa kila kitu!! Ruzuku hamuwapi!!

TCU wafanyeni kazi kwa weledi, acheni kumuogopa JPM!!

JMP KAMATA WEZI
 
maadui wa nchi hii ni ujinga,maradhi na umasikini,ila hapo kwenye ujinga kunatengenezwa makusudi kwa sababu fulani fulani......tafadhali tuchukue hatua kama taifa watanzania.
 
Nahisi TCU wanadeal na vyuo vinavyotoa degree au kuna kinachotoa degree kati ya hivyo ulivyotaja? Maana NACTE ndio najua wanadeal na hivyo vyuo vinavyotoa diploma na certificate
 
Nahisi TCU wanadeal na vyuo vinavyotoa degree au kuna kinachotoa degree kati ya hivyo ulivyotaja? Maana NACTE ndio najua wanadeal na hivyo vyuo vinavyotoa diploma na certificate
Vyote hivyo vina Degree.
Na Masterz....

7. Hapo nime acha Institute of Rural Development & planning iliyo Bwiru, Press. Nayo wana Degree..
Hawana hosteli wala Mainhall wala ukumbi wowote wa kujisomea!! Bora yao wapo ziwani, wana enjoy upepo!!

Hawa nao wamekodi majengo yote nadhani ni ya KKT.
Naskia wana Campus 2...nyingine ipo Buswelu. Wamechua Majengo yaliyo kuwa ya Secondary flani hivii!! Yaani ni poor environment!!

Hawa IRDP hawana hata Walimu japo wana Bachelor.

Lakini cha kushangaza hamna hata kilicho fungiwa!!

JMP KAMATA WEZI
 
Mkuu unataka kusema huu msumeno una makali upande mmoja tu? Hivi team zilizofanya hii audit zilitoka wapi na zilikuwa na wakina nani? Nilishasikia wenye shule binafsi za primary na secondary pia wakilalamika kuwa inapokuja kwenye quality control ni zile za binafsi tu zinazobanwa lakini za serikali ndio hivyo.
Kwa mawazo "yetu" ya sasa kama sauti zinavyo sikika zikisema mkazo wa serikali ni vyuo vya serikali na hivyo vingine wanasema viachwe vijifie. Hivyo kunaweza kuwa na bias (upendeleo) kwenye maamuzi yatokanayo na audit hiyo. Lakini hata vyuo vya private vitakavyo rekebisha mapungufu yao vitakuja kuvuna huko mbeleni kwani vitatoa ushindani mzuri kwa vyuo vya umma. Cha msingi pia ni kwa TCU kuhakikisha watanzania wanapata elimu ya viwango na msumeno wao (TCU/NACTE) lazima uwe na makali pande zote. Tusipeleke watu wetu kusoma programs zilizo chini ya viwango ziwe vyuo binafsi au vya serikali.
 
Wana waumiza sn Private!

Private hujenga wao vyuo karibia wote wana miliki majengo na maeneo. Mishahara hujilipia. Stationeries hujinunulia, kusomesha staffs, Ada wana toza ndogo kuliko vya Govt na ruzuku hunyimwa!!

Vya Gvt bado hufanyiwa yote hayo na serikali kuu au Wizara husika na chuo.

Huu ubaguzi ni mbaya sn...

Mm nadhani Private Sector ifike sehemu waishitaki TCU mahakamani kwa upendeleo wa wazi. Na imani hata Mahakama ikitembelea vyuo nilivyo vitaja hapo juu itakubaliana na mlalamikaji juu ya upendeleo wa ajabu...

Ngoja tuone huto tu chuo twao kwenye hii open competition kama vita pata Degree yoyote...

Wao ni maarufu kwa kujaza Certificates na Diploma..

JMP KAMATA WEZI
 
Sijaona hoja ya msingi uliyoitoa , kwani ubora wa chuo unaangaliwa kwa majengo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma, unajidai mjanja wa ku comment!! Nimeongelea nn na nn hapo juu? (FACTOR NGAPI)

Je umewahi kuvitembelea vyuo tajwa hapo juu? Afu u compare na St. Marian? Archbishop Mihayo? KCMC?
Hii ni thread ya walio enda shule!!

Hauna jipya wewe, factor gani uliyotoa hapo zaidi ya utumbo tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan TIA mwanza ikoje
Soma hapo juu...mapungufu...
Walimu wa TIA Mwanza na Head Office ndio huenda hadi Kigoma..inshort branches zao zote hazina walimu.

TIA Mwz hawana hata mahala pa Wanachuo kupumzika na kujisomea vzr. Mazingira haya support Elimu bora. Wamekodi ka gorofa kamoja tu.. huwezi Compare hata na Private yoyote iliyo fungiwa kudahili mwaka huu!!!

TIA Mwanza hata Library ni majanga!! Hawa wana kozi hadi Masterz..!!!!!!!

JPM KAMATA WEZI
 
Hivi kabla ya hiyo University mkabala na Sekou Toure si ilikuwa MBOGI SECONDARY(Ya Wasichana) au naifananisha?
 
Back
Top Bottom