Recent content by Human Being

  1. Human Being

    TTCL lipeni wafanyakazi wenu, wanaadhirika mitaani

    Huu ni uzushi Mkubwa. mm ni mfanyakazi wa TTCL na mshahara wa December tumelipwa hata kabla ya siku kuu za mwisho wa mwaka.. Nikukumbushe mtoa mada japo umejificha nyuma ya hadithi na tuhuma zako za kutunga.... TTCL ya sasa hakuna ubabaishaji na ni bora kuliko wakati wowote.. Mianya ya...
  2. Human Being

    Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010

    Tujadili tulipojikwaa na si tulipoangukia Maana Nchi ilishapelekwa pabaya siku nyingi. angalia chanzo cha yote:Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika
  3. Human Being

    How DR Congo conflict could ignite regional war(must read please) see how Tz is involved.

    I think M23 is fearing its own shadow. These countries Tanzania,Malawi and SA are informed well on what is going on in DRC.mind you Tanzania and Malawi are using this opportunity as a study tour for their Lake Malawi Border conflict.Rwanda is using the conflict to rob DRC resources. They fake...
  4. Human Being

    Hukumu ya Sheikh Ponda kusomwa Mei 9...

    Hakuna ushwari msijidanganye.Dhuluma dhidi ya waislam TZ na mauaji ya Kimbari Zanzibar 1964&2000 ni mambo yatakayoendelea kuwatesa.kumbuka mnapingana na nguvu za M/Mungu.
  5. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    Hamna uhusiano wa mimi kuwa na post chache na Hoja hii ya udini.wengine post nyingi lakini michango haina mashiko. I hope umeamka sogea mezani tuendeleze hoja.usipepese......
  6. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    .M/Kiti alikuwa Mkapa.Aliyeupata uraisi ni JK na Beneficiary ni CCM.JK hakuwa anajua kuwa angegeukwa.na baada ya kushinda CCM ikiwa na Backup ya Maaskofu wakakataa suala hili.JK amejaribu kuondoa mfumo wa udini ndani ya CCM na Serikali lakini kelele zimesikika mpaka kwa Nyerere.wapo wanaotamani...
  7. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    Kuwa mwenyekiti haimaanishi kuwa ndo unatunga kila kitu.Lakini pia wakati ilani inatungwa mwenyekiti alikuwa Mkapa.
  8. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    ...........cha mtema kuni kupitia padre slaa na Chadema..............Nimekusaidia Kumalizia senetensi yako.Mnaelekea kufilisika kimawazo na sasa mnaleta ligi za kitoto mpaka masuala ya kuchinja which is nonsense.Tunafahamu miaka yote mlikuwa mnaisapoti CCM na hata mkamuita JK chaguo la Mungu...
  9. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    Mkuu Hoja ya Kadhi hajaileta JK.Hoja hii ni ya CCM kwa kudhani wanawapoza waislamu kwa maovu waliyowafanyia. Naomba nikukumbushe Historia kidogo.Kadhi alikuwepo kipindi tunapata uhuru.Lakini kwa fitina za ''Mwenyeheri'' na wenzake waliua taasisi zote nyeti za kiislamu.
  10. Human Being

    Rage na mchango wa udini bungeni

    Amani iwe kwenu wote wana JF,Namtetea JK kuwa si mdini na nampongeza kwa kuhimili hali hii ngumu.Kwanza amekuwa mwathirika wa udini na kama angekuwa mdini leo hii angekuwa ameishatimiza matakwa yote ya waislam.Mahakama ya kadhi,OIC ni mojawapo ya hayo matakwa lakini mpaka leo hajaweza kufanya...
Back
Top Bottom