Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri.
Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad.
Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad.
Kwa wenye...
Taratibu za Kazi huwa lazima zifatwe , mara nyingi Watanzania hufanya tu mipango ya Kupata
visa kwa Haraka na Kuzamia huko kutafuta Kazi mwenyewe ,
Lakini pia kuna kuna Visa zipo kwa ajili ya kazi
na visa hiyo ili uipate lazima uwe tayari umeshatumiwa
workpermitt na Job offer kutoka kwa...
Mambo vp Wapenda kusafir huku Abroad kutafuta maisha ,
Leo nakuja na mchongo huu wa kusafiri na Kupata Kazi moja kwa moja
Kabla sijaenda kwenye mchongo wenyewe ngoja nikupe UZI HUU
Nchi nyingi za wenzetu zimekuwa zikiwekeza kwenye Viwanda Vikubwa ,
Mashamba makubwa , ma macompuni mbalimbali ...
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko
1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend
ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa
sababu fulani...
sio kweli green card haihitaji Chochote hata passport hawahitaji , ukisha chaguliwa kila kitu wanamaliza , kama bado hujafanya application za Dv njoo fasta nikusaidie .. bure .. na wewe mwenye kuhitaji bs .. njoo dm nikupe bs yangu inasoma vzr ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.